Naskia wanawake wa kisambaa ni jeuri na viburi sana kwa waume zao, ila kabla hauja muoa ana kua humble sana kiasi cha kusema umepata mtu mwema wa kuoa, thubutu! muweke ndani uone balaa lake...
Habari zenu wana MMU. Nilikuwa na bf kwa bahati nzuri nina ujauzito wake.Nilipomwambia alinipa hela niitoe mimi sikuitoa nikakaa kama miezi miwili nikamwambia mimba sikuitoa kwa sababu naogopa...
Ndugu zangu ukifungua MMU topic nyingi zinaonyesha jinsi gani mapenzi yanasumbua sana siku hizi,yani wanaume wanalia huku wanawake nao wanalalamika.
Wapo wengine leo wanadiriki kusema mapenzi...
Nimekuwa na maisha magumu kwa huruma . Nafanya kazi ila mshahara wangu wanaishia kufaidi ndugu zangu na watu wengine.
Ndugu zangu wamekuwa kila wakati watu wa kunililia shida tu na zote...
mimi nimeoa miaka mitano iliyopita nimebahatila kupata watoto 3 wa me 2 na ke 1 tatizo ninalotaka nipatiwe ushauri nimebadirila ghafla mno kila siku napiga bao 3! ambapo hiyo hali sikuwa na toka awali
Ebwana mwishon mwa mwaka jana nikiwa naelekea arusha nilibahatika kukaa na bint mmoja wa kitanga.Katika story nikajikuta nimefanya kosa ambalo had leo najutia.
Nilijikuta nimemtongoza licha...
unaingia na anakuambia nipe changu kwanza au ukimaliza anakumbia unaniachaje mara shughuli yote hii ulionipa unaniachia elfu 10,000/=kumi tu au kama ni demu wako wa mara kwa mara utasikia...
Wanajamii nawasalimu.
Kila mtu huwa na Ndoto na njozi.Kwa Muda wa wiki mbili sasa
nimekuwa nikiota ndoto ya ajabu.Ndani ya ndoto hiyo namuona binti mrembo akiwa amesimama kando ya bahari huku...
Tangu mume wangu apigwe stop job kwa kesi za ajabuajabu sasa hivi ni miezi 3, maisha yamekuwa magumu hadi nachanganyikiwa kupata mlo mmoja kwa siku nikushukuru, namimi duka langu limekombwa kila...
Mimi ni mvulana mwenye miaka 26,im a teacher(secondary) naitaji mchumba,awe mzuri,asinizidi umri na awe tayari kupima v.v.u. Awe anajielewa
alietayari ani pm
THANKS AND GOD BLESS U.
hiki kitu siyo tu kinakera ila kinafedhehesha sana wanawake kiasi mpaka unawaonea huruma!
Unaweza kufahamiana naye leo kupitia hizi social network, halafu kesho akakutumia text baby naumwa naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.