Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,027
- 1,052
wasalaaam wana mmu,,
kama kawaida kijana wenu nakuja nakamkasa kangu kwenu kwan naamin kuna watu wa aina tofaut na hivyo kutoa michango ambayo kias kikubwa inasaidia,,
my gf ndo ivyo anamalizia mwaka wa 3 chuo,,,ths gal of mine is so smart(upstairs) kias kwamba hua anaongoza darasan kwake kwa gpa kubwa,,(anafanya it studies),,kwa utaratibu ulivo kwa chuo anachosoma ni kua mwanafunz anaefanya vizur hua anakua sponsered na chuo kwenda nje kusoma mastas thn anarud kufundisha apo,,,kwa trend ya hubby wangu uyu kuna possibility kubwa akakumbwa na iyo bahat,,,sasa suala linakuja iv akasome nje akirud atakua wangu tena(sio masuala ya kujiamin na kuamin et km ananpenda atakua wangu tuu) ila mkumbuke wadau huu ni mtian mkubwa ikizingatiwa atakua exposed na real world(nionavyo) thn akaja niona kapuku tu,,,
nimeplan kumtia ujauzito soon il km atafanikiwa bas aende na chata la mnyamwez nahis itakua imensaidia,,
wasalaam,,,,,,