yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,778
- 1,226
KHABARI GANI WANA MMU
Mimi ni mfanyabiashara wa ndizi kutoka Mbeya (tukuyu) na kupeleka Dar na nina zaidi ya miaka mitatu sasa toka nianze hii biashara, mwishoni mwa mwaka jana 2013 biashara ilisumbua kidogo nikaone bora nitafute fursa nyingine japo sitaiacha kabisa biashara yangu ya awali ndipo nilipokutana na mfanyabiashara mwenzangu anayetokea tanga na kunishauri nijaribu kwenda huko kwani naweza chukua hata belo za mitumba au doti za khanga na kupeleka huko na kurudi na mzigo wowote hasa wa vyakula ikiwamo matunda kwani kwa hapa Dar biashara hiyo ipo sana na sitaenda kwa hasara na kurudi kwa hasara hata biashara ikiwa mbaya kiukweli ushauri niliubali kwanza ni mtu tunaheshimiane sana kwaiyo sikuwa na hofu naye na alinipa ramani ya mji kwa sababu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kwenda.
Baada kukamilisha michakato yote kibiashara hatmae baada ya wiki 1 nilikuwa ndani ya jiji la waja leo waondoka leo japo kwangu ilikuwa tofauti kidogo,
kama alivyokwisha kunielekeza mwenyeji wangu nilifika kwa shekh mndolwa ambaye ni mfanyabiasha maarufu hapa mjini tanga kwa taaratibu nyingine za kuuza na kununua mzigo wa kurudi nao Dar ikiwamo na kunitunzia mzigo kwenye store yake ambayo niliweka mzigo wangu wa vitenge na khanga zenye thamani isiyopunguwa milioni nane
katika pita pita yangu ya soko la ngamiani ambalo ni maarufu mjini hapa nikifanya research ya bidhaa yangu nilikutana na DAda mmoja ambaaye alijitambulisha kwa jina la Aisha na kwa kumkadilia alikuwa na miaka kama 26 hivi na alikuwa anafanya biashara samaki ya sokoni hapo
na kwasababu alikuwa mwenyeji hapo nilimuomba msaada kama anaweza kunisaidia ili niweze kufanikisha biashara yangu nae bila hiyana alikuwa tayari kunisaidia
kutokana na ukarimu wake na jinsi alivyoweza kunitembeza mitaa yote ya Tangamano, Nguvumali, kisosora, chumba geni nk. nilifarijika sana japo nilikuwa mgeni lakini lijiona kama mgeni mwenyeji
ilipofika majira ya saa kumi na moja jioni nilimwomba nikajipumzishe ili nae akamalizie biashara yake kwani mda nao ulikuwa umeenda akaniambia basi twende wote akafunge kwani nae alikuwa amechoka na ingekuwa vizuri kama nimgepafahamu nyumbani kwake ili kesho niweza kwenda moja kwa moja yeye alikuwa anatokea mtaa wa saba nami nilikuwa nimechukua gest mitaa ya chuda (michi)
baada ya kufunga biashara ilibidi tuchukue tax kutoka hapo (ngamiani market) mpaka mtaa wa saba anapokaa. Tukafika akanikaribisha mpaka ndani ila alivyojijenga nikapata wasi wasi kidogo kwani japo alikuwa amepanga lake lilikuwa limekamilika sana nikamdadisi inakuwaje kuhusu familia umeolewa una watoto au ni vp? ndipo akaniambia ana mtoto anasoma na yuko kwa bibi yake Handeni ila hajabahatika kupata mme na alizaa akiwa shule
baada ya maelezo hayo nikamzingua kidogo kwa hiyo kwa sasa huna mtu? anakanijibu hana mtu na kwasasa haitaji mtu kwani wanaume wengi sasa hivi ni vimeo yuko bize na kazi (kimoyomoyo nikasema mh! imbombo jhilipo)
baada ya maongezi mawili matatu nikamwomba twende walau grosary ya jirani tupate moja mbili na tukapange mikakati ya kesho kwani tax drver nae alikuwa ananisubili akasema poa.
kama ujuavyo safari moja uanzisha nyingine nikamwamuru yule dereva aondoke kama nitamwitaji basi nitampigia simu
baada ya kupiga mitungi ya kutosha mishale ya saa tano hivi nilimuomba anitafutie gest ya jirani kwani nilikuwa nimechoka sana akaniambia kama sitojali naweza pumzika kwake kwani alimtuma mtu aniandalie na chakula pamoja na maji ya kuoga, nilishtuka sana kusikia kauli ile nilichofanya nikwenda kaunta kuchukua zana (condom) kwani nilijua lolote laweza tokea
Tulipofika nyumbani nilikuta nishaandaliwa maji ya kuoga na kwa mara ya kwanza nikaogeshwa nikiwa mtu mzima na akili timamu nikala chakula kidogo sana tena kwa kulishwa sijui kwasababu nilikunywa wisky aina casa del vino ilikuwa inapanda taratiib kichwani (kwa wanaoifahamu)
.....muda kama lisaa moja hivi baada ya chakula nilipelekwa kitandani na kuanza kufanyiwa msg pamoja na kufanyiwa usafi wa kucha kunyolewa nywele za kunako hakika ilikuwa burudani ya uoga sana nachokumbuka nikumkabidhi pochi iliyokuwa na kadi ya benki pamoja na elfu hamsini ilibaki kule grosary na kwenda bafuni kuvaa zana (condom ) japo nilikuwa nimelewa lakini nilikuwa makini sana kuzikumbuka kuliko hata hela (elfu hamsini kitu gani hata akifanya uhuni poa) ile nyumba ilikuwa self container nilipofika chooni ili nivae zana nilijikuta navaa kwa tabu sana nikavaa ya kwanza, ya pili yatatu kidogo ilikuwa rahisi nikafili inawezekana ni kwasababu ya pombe kwani nilihisi ile nyumba inazunguka
kwa jinsi nilivyochoka nikamwambia gemu tucheze kesho muda huo nilikuwa sijiwezi alichonijib mi kuwa mi nisimamishe tu ye atapanda na kunisifu kuwa mi niko makini lakini na yeye alikuwa ameandaa lady pepeta
*********************************************************
Halfajiri ya saa kumi na mbili naamshwa kua nikaoge alafu nirudi tena nipumzike najikuta miguu imebana. kunani tena! mbona miguu kama imefungwa hivi nikazuga kimtindo ili nipate nafasi ya kujua nini kimetokea, kuja kutahamaki kumbe zile condom nilizivaa kwenye miguu na moja iliyosalia ambayo ni ya tatu sikumbuki niliitumia wapi (pombe nyingine noumaa zinakutuma uvae condom miguuni) kisoo soo nikazichomoa na kuziifadhi sehemu
************************
baada kutoka kuoga nilienda mezani nikagonga chai ya iriki na kalmati kidogo nikapata nguvu nikarudishwa tena kitandani safari hii kidogo angalau nilikuwa ninajitambua na sikuona umuhimu wa kuvaa tena mpira kwani nilijitaidi na pombe zangu lakini hola sasa naamini tunaishi kwa neema tu kwani waweza jizuia kwa dakika siku miezi miaka ila iko siku utambukia tu kwenye mkondo
mtoto sita kwa sita duh balaa ukishika nywele zinashikika, ukishika kifua mithili ya embe bolibo kwenye kiuno ndo usiseme kabisa ilinilazimu nivute kanga nijione kwa macho si kwasabu amejazia la hasha jinsi alivyojikata mh
hapa na pale na goli kuwa wazi lakini bado nilikuta napaisha huku bi aisha akifuraii na kuniambia na bado hili trela tu nikamwambia haa wapi hii mbeya city kwangu droo jihesabie ushindi siangalii uwingi wa goli najivunia pumzi 2 tu
********************************************
WAJUA NI KITU KITAENDELEA MASAA MAWILI BAADA YA MECHI?
USICHEZE MBALI