Yupi huiona thaman ya hela Umuhongayo?

Yupi huiona thaman ya hela Umuhongayo?

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
nimefanikiwa kuwa na wanawake wa aina hizi mbili yaani wenye kazi na wasio na kazi yaan za kuwaingizia kipata.
Mi nlichogundua mwanamke asiye na kazi anathamin sana pesa uumpayo hata kama ni kidogo mf 10 elfu na yule aliye nakazi laki moja kwake haoni kama hela.
Nipe uzoefu nawe mwenzangu ktk hili?!!
 
kutoa na kuhonga ni maneno mawili tofauti...

money value depends with the nature and condition of the economy

kama matumizi yako ni chini ya elfu 10, halafu ukapewa elfu kumi.. that means utakuwa na surplus!!

lakini kama matumizi yako ni laki moja, halafu ukapewa elfu hamsini, inamaanisha utakuwa na deficity..

so, mwanamke mwenye kazi ana haki ya kulalamika kwa sababu amehongwa pesa ambayo haikidhi mahitaji..!

SWOT analysis is applicable here!
 
mtu anafanya kazi umpe hela yanini kwani zangu hazina kazi huu ni upumbav.u kwa wanaume wapumbav.u
 
Sio wote!!
Hakuna pesa tamu kma hiyo!!
Ina raha yake ila sio uombe!!
Mpaka nikuombe ujue wewe una mkono wa birika!!
Kwa wenye akili hupata hata mitaji na kufanya maendeleo!!
Ila wengi ni salun na nguo na ma ipad, iphone!!
 
Hela ya kuhongwa huwa haina matumizi ya maana. Mie ndio maana cpendi kuhongwa.
 
Zamani wakati tunaanza upendo mambo ya kupeana pesa hayakuwepo,ukichuma ua lako kwenye bustani lilikuwa zawadi tosha sana...tulikuwa tunaonesha ustadi kwa kujitoleakumsaidia mwenzio palizi,kulima and likely
 
mtu anafanya kazi umpe hela yanini kwani zangu hazina kazi huu ni upumbav.u kwa wanaume wapumbav.u

you negatively understood me!

i went line to line with the motion mover!
 
Back
Top Bottom