Njooni tusemezane

Njooni tusemezane

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Yuko wapi mtu jeuri na Kiburi kama FARAO?
Yuko wapi leo hii Tajiri wa Matajiri kama SULEIMAN?
Yuko wapi mtu Mzuri na Mtanashati kama nabii YUSUF? Yuko wapi Mwanamke mrembo na Mdanganyifu kama DELILA
Yuko wapi leo hii kipenzi chake MUNGU (BABA WA IMANI) IBRAHIMU?
Wote wapo ndani ya tumbo la Ardhi. Ama hakika kwake tutarejea! Vipi mimi na wewe tumejiandaaje na safari hii nzito? Sasa wakumbushe Watu kwa kushare utapata Baraka! Lakini kwa kuwa binadamu jeiuri unaweza isifanye hivyo na kujinyima Baraka bure ila ingekuwa si ya habari ya Biblia ungeshara hata mara 200.kazi kwako
 
Unawatisha watu kwa kifo au unatakiwa kuwaeleza tumaini lililopo hata kama mtu akifa?
 
nawakumbusha kuwa hii dunia sio yetu,bali tunapita tu,mali na kila kitu ulicho nacho ukumbuke ulikikuta hakuna ulicho zaliwa nacho,hivyo tupendane wote tujione tuko sawa ili tukavishwe taji la ushindi.
 
Back
Top Bottom