Wajinga ndio waliwao

Wajinga ndio waliwao

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
1,252
Reaction score
408
Habari wana MMU . nipo hapa Morogoro mjini baada ya mizunguko yangu nimeona nipumzike hapa kwenye pub moja (jina kapuni) nile ndizi za kuchoma na nyama ya mbuzi. Kuna baba mmoja amekuja ana baiskeli alapaki baiskeli yake akaagiza safari mbili akaletewa akatoa bulungutu la mahela na akarudisha kwenye mfuko wadada wa hii pub wakakonyezana na kuanza kumuita shemeji kwa ufahari amewakusanya meza moja wako 6 anazungusha round na sasa amesha lewa wamekaita kabinti kazuri keupe wanasema wanamuoza leo hihi amefurahi wanampangia mahari amesema atalipa moja wao alipo gundua kuwa mimi ninawachora akaja akaniambia we kaka kauka. Ni kweli ninakauka na sasa wamamdanganya eti awaonyeshe kama anakadi ya Benk amewaonyesha na wanamwambia atoe namba ya siri kwa huyo mchumba feki mhhh wajinga ndio waliwao
 
kwisha habari yake ndo anakaribishwa mujini huyo tena hapo analipia tuition fee
 
Wacha wachangamkie fursa....kuishi mjini form six..!
 
Kwa wale walo taka updates naona wana peana namba nilichogundua wanampa namba za magari wala sio za simu na wanasema wakishapokea mahri mdogo wao akodishiwe tax ahaaaa wanalisha mayai yaani analishwa huku wengine wanampepelea looo namkumbuka mwimbaji wa super moja one bwana Moreno Batambaa alisema DUNIA DUARA
 
aya bwana kuwa makini waije kukuteka na wewe mkuu... dunuia duara lisije mzunguko ukakufikia
 
Kwa wale walo taka updates naona wana peana namba nilichogundua wanampa namba za magari wala sio za simu na wanasema wakishapokea mahri mdogo wao akodishiwe tax ahaaaa wanalisha mayai yaani analishwa huku wengine wanampepelea looo namkumbuka mwimbaji wa super moja one bwana Moreno Batambaa alisema DUNIA DUARA

cc:Heaven on Earth
 
Vp up E pub, camel, huyo mzee kauza ng'ombe wake juz na aliomba escort ya polis
 
Back
Top Bottom