G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,516
- 40,048
Wana mmu,
Hili jukwaa kwa siku za karibuni kuna threads zime-emerge mpaka mtu unashindwa kuelewa tunataka tushauriane nini?
Unakuta mtu anaanzisha uzi eti "Kutoa bikra sio lazima mwanamke, ukiwa wakwanza kula chakula kilichotoka jikoni basi na wewe utakuwa miongoni mwa waliobikiri" hivi kweli mtu unaamka na kupost kitu kama hiki? kwa malengo yapi?
Mwingine unakuta anapost kitu ambacho katika hali ya kawaida hakiwezekani mfano "nikiwa napiga bao huwa natoa mingurumo kama simba au ng'ombe" hivi kweli kwa binadamu wa kawaida inawezekana ungurume kama simba wakati wa kufika kileleni? mtu wa aina hiyo sijui tuanze vipi kumshauri! au mwingine mfano "mke wangu anajamba sana" katika maisha ya kawaida neno sana ni kitu kilichopitiliza mno hivi kweli umewahi kukutana na mtu anaejamba mfululizo? kwa kawaida ni abdnomality ya hali ya juu mno,tujiweke kwenye maisha ya kawaida ya binadamu kama haya mambo yanawezekana!
Mwingine utakuta anasema mfano "kati ya kicheche/malaya sana au mtu aliyezaa sana ungependa kuwa na yupi?" hivi kuna mtu miongoni mwetu anayewaza kuwa na mtu wa aina hiyo? sasa tushauri vipi kama siyo jokes zisizo na maana ambapo humu siyo mahala pake?
Mwingine atakwambia mfano "Nikilala usiku natokwa na nyege" huyu anasema yeye ni kijana wa miaka 20 na yupo form six! hajawahi kupata elimu ya uzazi kweli?
Pia kuna wale watu wa matusi..atajifanya kutukana kingereza..ukitukana kingereza basi ujue unajionea aibu wewe mwenyewe vipi sisi tunaopokea? mwingine hata soni haoni yeye katikati ya threads za watu nikuporomosha matusi tu tena ya nguoni!
Kuna wale wengine uzi unaanzishwa yeye bila hata kutoa ushauri anaanza kuanzisha majibizano na mtu fulani! hii nayo inakera na kumvunja moyo mtoa uzi!
Tubadilike jaman siyo lazima mpaka tuwe watu wazima sana tujifunze!
Haya nimeyatoa kwa nia njema yakuweka mambo sawa! :angry: