Habari zenu wana Jf nimekuja kwenu kuomba ushauri kwani nilikuwa na mvulana kwa miaka sita na kuahidiana kutofanya chochote mpaka tuoane.
Mwaka jana alikuwa akiniambia yuko tayari kunioa lakini suala la kupima kwake halina maana na kukataa kwenda kupima kila nikimshauri ananijibu kuwa hataki kusikia suala la kupima na kwake halina maana mwisho wake alisema kwamba tuachane kwani tumepishana viswahili hatuwezi kuwa pamoja.
Nina choomba ushauri ni kwamba kwa siku hizi ananipigia simu na kuniambia kuwa sijaona thamani yake ntaijua baadaye kisa nimeng'ang'ania kupima na yeye hataki alafu ananiambia kuwa nimemkataa yeye ni mwanaume makini na sitapata kama yeye .
Jamani nishauri huyu anataka nini kwangu na wakati tumeshaachana kisa ni kuhusu kupima.