ushauri wenu tafadhali!!!!!

ushauri wenu tafadhali!!!!!

bondeigal

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Habari zenu wana JF ninaomba mnishauri kwamba nilikuwa na mvulana wangu ambaye tulikuwa katika mahusiano kwa miaka kama sita na tukakbaliana kuwa hatutafanya mapenzi mpaka touane akanikubalia kwa upande wangu sijawahi kufanya mapenzi ata siku moja. asa ilivyofika mwaka jana akawa ananiambia kuwa yuko tayari kunioa bila kupima ukimwi kwa kuwa yeye hawezi kupima ukimwi kwani haoni umuhimu wake kutokana na kupishana viswahili basi akaamua tuachane kila mtu akawa na mambo yake lakini kwa sasa mara aniambie kuwa mimi sioni umuhimu wake nitakuja kuuona baadaye na kuniambia kuwa nimempoteza yeye ni mwanamme makini na kila akija mkoa nilipo kwasasa kimasomo huwa ananilazimisha niende nikalale naye nakuniambia kuwa niende kama rafiki wala hakutatokea jambo baya nikimwambia siwezi ndo ananiletea maneno yake hayo na kunitumia kwa kuona kama yeye ni mwanaume pekee sasa nashindwa kuelewa anatak nini kwangu na wakati tumeshaachana nishauri nimfanyaje ili aache hayo mamabo coz nilishafanya kutopokea simu lakini bado hajaacha.
 
Siku utakayoenda kulala nae, huponi
 
Je umemlia kiasi gani cha hela? Je anao uelewa wa maisha? Je ukijipima, unaona ya kwamba yeye atazuia wewe kuolewa? Je mmetambulishana? Kumbuka, siyo kila uhusiano unapaswa kufika kwenye ndoa. Wasichana wasio na msimamo juu ya maisha yao ndio wanaoyumbishwa kama bendera.
 
huyo hapo anataka akumege then asepe zke apunguze hasira za miaka yote alokusubiria ukienda umeumia araf atakuwa na ukimwi huyo na akikupgia tena pokea km upo hm play video ya ngono then msikirizishe hasa ikiwa usiku ndo pouwa umwambie upo na bebi wako mnakura raha asikusumbue we utaona majibu yke
 
kolelo
 
Habari zenu wana JF ninaomba mnishauri kwamba nilikuwa na mvulana wangu ambaye tulikuwa katika mahusiano kwa miaka kama sita na tukakbaliana kuwa hatutafanya mapenzi mpaka touane akanikubalia kwa upande wangu sijawahi kufanya mapenzi ata siku moja. asa ilivyofika mwaka jana akawa ananiambia kuwa yuko tayari kunioa bila kupima ukimwi kwa kuwa yeye hawezi kupima ukimwi kwani haoni umuhimu wake kutokana na kupishana viswahili basi akaamua tuachane kila mtu akawa na mambo yake lakini kwa sasa mara aniambie kuwa mimi sioni umuhimu wake nitakuja kuuona baadaye na kuniambia kuwa nimempoteza yeye ni mwanamme makini na kila akija mkoa nilipo kwasasa kimasomo huwa ananilazimisha niende nikalale naye nakuniambia kuwa niende kama rafiki wala hakutatokea jambo baya nikimwambia siwezi ndo ananiletea maneno yake hayo na kunitumia kwa kuona kama yeye ni mwanaume pekee sasa nashindwa kuelewa anatak nini kwangu na wakati tumeshaachana nishauri nimfanyaje ili aache hayo mamabo coz nilishafanya kutopokea simu lakini bado hajaacha.

we Bikira Kweli sio kumsumbua mtu we bikira unakula tu hela zake alafu pembeni una kidumu, Na sasa kama ni bikira unasubili kuolewa na bikila mwenzako ama? Watu kama nyinyi mnaojifanya mna misimamo ndo mnakuja kuharibikiwa kabisa mnatulea maada tena hapa! Kasomee usister sasa bas
 
Hapa ndipo ninaposhangaa. Hakuna mwanaume anataka kuoa mwanamke aliyetembea na zaidi ya wanaume wawili. Lakini bado pia hawapendezwi na wanawake wanaojitunza.
Wanajitahidi kwa vyovyote wawaharibu. Jamani, wanawake basi tuu.
Hongera mwaya dada yangu hata usijaribu kunadili msimamo wako.
 
Kama mwanaume hajakugegeda hana ujanja kwako.He want nothn huy zaid ya kilichopo katikat ya miguu yako.kuna kumblacklist,kumblock
 
Back
Top Bottom