Ningeomba mnikaribishe

Ningeomba mnikaribishe

"Papa limetoa pezi, vidagaa mtaliwa manajiona"
karibu sana, mi napenda kucheza pool table bila shaka tutakuwa pamoja
 
jisikie uko nyumbani mimi ndo nahusika na kuwatembeza wageni humu pia kuwafahamisha kuhusu majukwaaa yote pamoja na kitongoji cha pm na kuwafundisha lugha sahihi inayotumika humu lakini utatakiwa ulipie kidogo hela ya chai je uko tayari
 
karibu sana.lakini angalia usije leta ule mchezo wa David Cameroon
 
Karibu sana MMU na JF...

Wataka harua au wataka gahawa mazee?
 
Watoka Mombasa!karibu kiingilio nimeshakulipia.
 
Watu wabaya humu, naona mnamchombweza kijana/binti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom