Report ya uking'asti kwa vijana wa kiume

Report ya uking'asti kwa vijana wa kiume

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,892
Reaction score
5,084
Habar wana JF nadhani wote kwa uwezo wa Mungu ni wazima

Nashanganzwa sana na vijana wenzetu kuanzia umri wa miaka 20-28 kwa jinsi wanavyopendwa kulelewa na wadada wenye uwezo kifedha

Nimeshndwa kupata jibu huku wakiyapenda maisha yale ya kulelewa na kushnda ndani kama wanawali wakisubri kunemwa hasa maeneo ya
m/nyamala,magomen,sinza.kinondon n.k.Sasa ndio tuseme ni ugumu wa maisha au jeje?

nawasilisha jaman mtusaidie vijana tulidata na mchezo huu mchafu?

karibuni kwa michango yenu wana JF.
 
Kama na we ni mmoja wao unauliza nini sasa, na sisi tutajuaje wakati unaelelewa ni wewe...au for promo only?
i thout ungeeleza sababu zinazowafanya kuwa ving'ast kama ulivoita wenzio
 
Unawaambia wenzio kuwa kakununulia iphone 5.? Usihofu muda si mrefu mtaanza kutolewa mahali, mnaolewa mnawekwa ndani!
 
Kama na we ni mmoja wao unauliza nini sasa, na sisi tutajuaje wakati unaelelewa ni wewe...au for promo only?
i thout ungeeleza sababu zinazowafanya kuwa ving'ast kama ulivoita wenzio

no no no ckumanisha kuwa mim ni mmoja wapo but nlshndwa kudifine wat are the problems in&out by sharing my views with you friends and jf members
 
mie hiyo heading yako nikajua sijui King'asti kaja na repoti gani kwa vijana
kufungua eti umario mmeubatiza jina jipya.........
haya endeleeni 2014 dunia yenu chaguo lenu,
chagua kuwa king'asti chagua kuwa mwanaume wa kweli
 
Last edited by a moderator:
Naona masharobaro wananza kunyukana.

Kwel mkuu yan mtu anajpamba utazni mtoto wa kike kila kit anapaka ameshndwa kuvaa bikin tu ili akatege madem club atafune bia za bure na apewe kipoch manyoya bureee
 
si mnapenda mteremko kama yule kijana wa Bongo flava

Tusiwalaumu hawa vijana wenzetu tujaribu pia kuangalia pia na nini ni chanzo, kwa asili ni wazi kuwa mwanamume atamtunza mwanamke enzi na enzi zimepita na pamoja na jukumu hili la mwanamume kumtunza mkewe penzi linapokuwa la kweli wawili hawa hujikuta wanatunzana! na nikisema kutunzana nina maanisha kumjali mwenzio kwani huwezi kusema unampenda mwenzako alafu ana tatizo unagoma kumsaidia kisa ni jukumu la mwanamume kumtunza mkewe, haya yatakuwa mapenzi ya kimaslahi.hata kanisani pale wawili hawa huapa kwa kusema "KATIKA SHIDA NA RAHA" Ila la vijana kutunzwa na hawa wa mama ni sawa na ukosefu wa vitamins zinazofanya kweli mtu aone anafurahia au kupata penzi! hata gari likiwa jipya huwa na nguvu kuliko lile la zamani hivyo ni wazi hawa wa mama hununua burudisho kutoka kwa hawa vijana wenzetu kwa njia ya uficho mno! na ni ngumu mwanamume kugundua hili kwani kwa asili mwanamume ni mtu wa kubembelezwa na huamini mapema sana kuwa anapendwa kumbe anaibiwa ujana. cha kuzingatia hapa ni upande wa wakina dada ukubaliane na hili kuwa, wanafurahishwa na utendaji wa hawa vijana katika suala zima la tendo la ndoa,mvuto na hata kuwafanya hawa wadada wajione bado nao ni wadogo kisaikolojia! waheshimuni hawa vijana kwani mwanamume hazeeki na hata akifa leo bado ana uwezo wa kuzalisha akiwa maiti kwa muda wa siku tatu! jiulizeni sana nyie wadada kwanini MUNGU alisema SASA NA TUUMBE MTU KWA MFANO WETU, na aka muumba adamu (DUME) then mkatolewa katika mbavu zetu.
 
Ni ulemavu wa akili tu na kujiendekeza...
 
Back
Top Bottom