Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 693
Katika hali ya kushangaza kuna jamaa kaja pm na kuamua eti kuniuzia aliemwita mpenzi wake ambae hampendi,charting ilikua hivi:
jamaa😱ya vp?
Sam Love😛oa nambie mkuu?
Jamaa:shwari,sasa kunaishu nataka nikwambie?
Sam Love:ishu gani tena Mr?
Jamaa:naona unalalamika lalamika mara upo single,sasa skia nina mpenzi wangu ambae me simpendi namdanganya,sasa nataka nkuuzie we nipe laki mbili nkupe mzigo.
Sam Love:una mapepo au?
Jamaa:kwa nini?
Sam Love:unajua sababu,ok me sitaki na usilete ujinga wako kwngu tena.