Hakuna kitu kigumu kama kumtambua mwanamke.
Mfano, maana halisi ya kukaa vizuri kwa mwanamke ni nini?
Kwa sababu akiwa nje ukimwambia akae vizuri atabana miguu. Ukiwa naye chumbani ukamwambia...
Nilikuwa Siwezi Kumwambia Mpenzi Wangu Jambo Lolote Linalohusu Mapenzi, Niliogopa Angeweza Kukasilika Ilinilazimu Kumuandikia Barua Haijalishi Kama Kila Siku Tunakutana Na Niliogopa Sana Kudai...
Kwa uchunguzi nilioufanya kwa kulinganisha habari moja na nyingne kuhusu watu nnaowafahamu hususani kuhusu mastaa wetu hapa nchini, ni kwamba wengi wao kiafya sio, nimefikia kuamini kwamba katika...
Watu wengi wanadhani kwamba kuolewa au kuoa kutawapa furaha na amani hasa baada ya kumpata ampendaye. Ukweli ni kwamba jambo hilo lina ukweli kwa kiasi fulani, lakini kwa upande mwingine kuna...
Za usiku wana MMU,
Kiroho safiiiii,napenda nifunguke kwamba moyo umemdondokea and i feel something for mtajwa hapo juu, Money Stunna utakapoona huu u'thread basi uje utoe statement...
Once a group of 50 people were attending a seminar. Suddenly the speaker stopped and started giving each one a balloon. Each one was asked to write his/her name on it using a marker pen. Then all...
MTUNZI: JOSEPH SHALUWA
ILIPOISHIA...
Msisimko alioupata ulikuwa mkubwa sana. Pamoja na kufikisha umri wa miaka 22, akiwa tayari ameshamaliza elimu yake ya kidato cha nne, hakufikiria kabisa...
Huu msemo ni kweli kabisa mwanaume ukiwa na pesa hata kama utakuwa mbaya utavumiliwa tu na utaonekana umesoma hata kama hujasoma utaitwa msomi muda wote wambembelezwa ukipumua waambiwa pole baby...
Hodi hodi naingia uwanjani kuwasilisha.
Uzoefu wangu unaonyesha wanawake ambao wana mojawapo ya mapungufu yafuatayo hudumu katika ndoa zao.
(a) Sura na maumbile yao si mazuri sana, ama
(b)...
Jana nimepata msg toka kwa mtu nisiyemfahamu ikisema " dada nisaidie elfu 15 tu mwenzio nafukuzwa chuo na wamesema sitaenda Btp kama nisipomaliza kulipa."
Nikampandia hewani mtu huyo kujua ni...
Kwa kutumia akili yako, unafikiri kwamba ukiwa na rafiki wa kike unapata faida, faidi hizo ni zipi? au unafikiri ni hasara, hasara hizo ni zipi?
Hii mada nimeikuta Nairaland japo mimi nimeongeza...
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii...
Ukirudi nyumbani unanuniwa pia unaitwa mlevi, kabla sijakuoa tulikua tunakesha msondo pamoja, iweje leo mnapenda kutuita sisi walevi, saa ingine tunakunywa hata bia mbili tu unakuta...
Ni sahihi kwa wanandoa kila mnaloongea kufikisha ukweni? yaani namaanisha mwanamke afikishe kwao na mume afikishe kwao, haijalisha hayo mtakayoyaongea mazuri, mabaya, yanawahusu hayawahusu...
Are you a nice guy who has always wondered why the cocky guy -- the one who barely appears interested in the girl -- is usually the one who gets the girl?
Have you suffered from hearing the...
Habari wana JF,
Nirudi katika mada,yan nashindwa kuelewa nimueleweje huyu mwanaume wangu wa sasa.
Tuna mahusiano ya kama miezi miwil lakini ghafla naona amebadilika hanijali hata nikienda kwake...
Habari wana MMU. Leo nimekutana na kali ya kufungua mwaka. Kwa muda mrefu tu tumekuwa tukiwasiliana na kuchat kiasi cha kuzoeana na msichana fulani hivi lakini hatukuwahi kuonana. Sasa tukapanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.