Una malengo gani mwaka huu

Una malengo gani mwaka huu

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
Habari za jioni wana MMU, mwaka ndo huo unazidi kuyoyoma, una malengo yapi mie malengo yangu ni kununua kiwanja, kuoa.
 
Habari za jioni wana mmu, mwaka ndo huo unazidi kuyoyoma, una malengo yapi mie malengo yangu ni kununua kiwanja, kuoa

Kuoa. Kununua viwanja, kufungua biashara mpya, kununua kijigari simple cha kupigia misele town, baadaye kabisa kwenda shule.
 
Kumaliza stage flani ya kielimu na Nimuingize Kingi meneja mmoja hivi,from the first day i saw him moyo ulistuka
 
Kutumia kaz yngu kuanzsha mradi mzuri and kufungua kampuni
 
Tatizo linakuja kwenye kutimiza malengo yenyewe sasa dah! Mungu utusaidie tu
 
mimi kuoa na kufanya kazi kwa bidii. yani mwaka huu hauishi bila kumuoa mchumba wangu, mwasikitoko, nambare 1, mutoto kutoka kule moshi.
 
Back
Top Bottom