Kumtambua mwanamke ni kitu kigumu!

Kumtambua mwanamke ni kitu kigumu!

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Hakuna kitu kigumu kama kumtambua mwanamke.

Mfano, maana halisi ya kukaa vizuri kwa mwanamke ni nini?

Kwa sababu akiwa nje ukimwambia akae vizuri atabana miguu. Ukiwa naye chumbani ukamwambia akae vizuri atapanua miguu.

Unaweza ukaweka mifano mingine ya mambo unayoshindwa kuyatambua kutoka kwa mwanamke .............................:loco:
 
Pwa ha ha ha ha!

At least I got a good laugh out of it coz it's funny with a whole lot of truth to it.
 
God knows whats in your mind...
btw...Silence is the best answer for the fool!
 
  • Thanks
Reactions: Luv
haahaaahaa ukiitwaa njoo unaondoka ukisindikizwa kwa hiyo unanifukuza teh teh
 
Laiti ungeitambua thamani ya mama ungemwelewa mwanamke vizuri sana. Napata gadhabu sana kwa wasiotambua faida na umuhimu wa mwanamke Mungu akusaidie sana mtoa mada.
 
Back
Top Bottom