Hapa nitakuwa nimepigwa changa la mcho?

Hapa nitakuwa nimepigwa changa la mcho?

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,492
Reaction score
5,350
Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana. Wakati namtongoza alikuwa mbishi sana kuhusu suala la kufanya mapenzi,.

Sasa katika kuendelea na ubishi wake mi nikaona si vibaya niende nae taaratibu, huenda siku moja atalegeza kamba, na kwa madai yake alikuwa ananiambia hataki kwa sababu yeye bado bikra na asingependa kufanya kitendo hicho mapka siku atakapo olewa.

Sasa siku moja tukatoka tuakaenda kutembea, tukarudi kama saa 5 hivi usiku,tukapitia getoni kwangu, ikabidi nimbembeleze anipe mzigo lakini aligoma kwa msimamo wake uleule. Katika kubishana tukashitukia imeshafka sa 6 usiku.

Ikabidi nimwambie sasa hivi ni usiku sana huwezi kwenda nyumbani, hivyo lala ila kesho utadanganya nyumbani kwamba ulikuwa kwa ndugu zako. Kutokana na muda ule alikubali ila kwa shingo upande.

Rohoni nikarukaruka kwa furaha kwamba leo lazima nile mzigo tena mpya!(bikra kama alivyokuwa akiniambia), furaha yangu ilizidi pale aliponiambia naomba maji nikaoge, nikasema yes, anaenda kunioshea! Nikamuwekea maji bafuni.

Nilistuka kidogo tukiwa chumabani pale aliponiambia
"toka kidogo nitoae nguo nikaoge", nlijiuliza maswali, yani nitoke yeye avue nguo akaoge, sasa tutalalaje, atalala na nguo ama? Nilimbishia kidogo, "kwani unaogopa nn? Acha aibu zako bana!" lkn alishikilia msimamo wake huohuo.

Nilikubali nikatoka nikaenda kukaa sebuleni, alipo maliza kuoga nikarudi chumbani nikakuta amevaa shuka, lilikuwa kabatini.
Basi tukalala, mi kama kawida na boxer yangu, yeye alikuwa amevaa shuka na ndani alikuwa hajavaa kitu chochote.

Kimbembe kilianza kwenye kuomba gemu sasa, hapo inakimbilia saa 7:30 usiku. Yule demu aligoma kabisa, pamoja na ujanja wangu wote wa kubembeleza kimahaba siku ile niligonga mwamba.

Mikajiuliza hivi huyu ni mtu au nini hiki? Kwa sauti ya upole akaniambia "samahani, najua unaumia, lakini kama nilivyo kwambia mimi hiki kitu sijawahi kufanya na nisingependa kufanya kwa sasa, naomba unisamehe" nikajaribu kama kumforce, lakini alitoka akenda kukaa kwenye kiti nikamfuata, katka mabishano demu alivaa nguo akaniambia naenda nyumbani.

Nlifikiri anatania, nlipooana amekomaa, nikakubali yaishe, nikamwambia basi njoo tulale, sitakulazimisha kufanya hicho kitu. Lakini alishikilia msimamo wake kwamba naondoka, hapo ilikuwa imeshafika saa nane usiku.

Nilimuonea huruma nikamwambia muda huu wote nyumbani utasema uliwa wapi? Japo nyumbani kwao na kwangu hakuna umbali... Lakini demu aliondoka, sikuamini macho yangu.

Sasa, baada ya kumuomba msamaha kwa yaliyotokea, akawa anakuja kwangu, na tukawa tunaishia kupiga stori tu bila kugusia suala la mapenzi.
Siku moja katika kupiga stori, tulikwa tumejipumzisha kwenye kapeti chini,mi nilikuwa nmelala chali yeye akawa amelala juu yangu, alafu tumetazamana, sasa dushelele langu likawa linamgusagusa kwenye K yake, kumbe alikuwa anazidi kuchanganyikiwa, baadae alibadilika kabisa, tukahamia chumbani.
Sasa wakati namgonga sikuiona hiyo bikra aliyokuwa akiniambia, na hiki ndicho kilichonifanya niandike uzi huu! Ingawa wakati nagonga huwa analalamika kumia na kama siko makini anapiga kelele hadi majirani wanasikia.

Kwa uzoefu wangu masichana bikra siku hiyo lazima atoke damu, lakini huyu hazikutoka hata kidogo. Nmemuliza akasema yeye anajua hajawahi kufanya mapenzi, ila kuhusu hiyo damu hajui, na kwakweli ni mshamba fulani hivi kwenye mabo ya mapenzi. Sasa hapa sinimepigwa changa la macho? Au wadau nisaidieni hapa.
 
kwani uliambiwa ukitoa bikra utapewa hela za bure? we nenda ukapime nae ukimwi mjue kama afya zenu ziko salama...hayo mambo ya bikra waachie wadogo zako wa form 2..
 
......ukizingatia kuwa bikira zenyewe wanazipotezea toka darasa la tano


kwani uliambiwa ukitoa bikra utapewa hela za bure? we nenda ukapime nae ukimwi mjue kama afya zenu ziko salama...hayo mambo ya bikra waachie wadogo zako wa form 2..
 
Si kila dushe inasababisha damu kwenye kubandua bikra.

Anaweza kuwa bikra kweli lakini kimaumbile tayari ameshakua na K ni kubwa ki-size(tundu)kuweza kumudu kidole chako cha mtoto bila shida.
 
Vipi ulimwambia unatafuta bikra? je ulikuwa unataka bikra ?, kama jibu hapana we potezea hayo mawazo ya bikra, ulitaka mpenzi umepata. Kwanza we mwenyewe siyo bikra au nimekosea?!!!!
Umemtoa mtoto wa wa2 kwenye msimamo wake hivyo jitahidi usile halafu usepe.
 
Acha uzinzi wewe muoe huyo dada umeshaharibu maisha yake eti bikira kwani wewe hujazini na wengine kabla? eti unataka tukuthibishie kuwa ni bikira umeambiwa hapa ni TBS?.
 
Sio kila bk hutoa damu, ila kitu ambacho kipo common ni kwamba bk zote huwa zmetait kiaina..
enjoy
 
Sio kila bk hutoa damu, ila kitu ambacho kipo common ni kwamba bk zote huwa zmetait kiaina..
enjoy

mpeni moyo tu jamaa yenu bikira ya ukweli damu lazima maana tundu huwa dogo sana kwa ajili ya kupitisha mkojo tu,unapo taka kuingiza uume lazima damu itoke maana lile tundu linalazimishwa kutanuka na ule utandu unozunguka unapasuka, labda kama iliyaharibiwa kwa namna yoyote ile.
 
kama nakuona.....!cpati picha kwa jinsi ulivyojiona mjanja na kuona leo ndo cku ya kupamp shampeni......ahahahahahah.....umeizbua lkn nazan iliisha gesi na ndo maana haikuvuja!......lolz
 
Bikraa!! Mh kuna bikra siku hzi? Ww kubali yaishe chukua mzigo paki ndani ugali uliwe
 
mpeni moyo tu jamaa yenu bikira ya ukweli damu lazima maana tundu huwa dogo sana kwa ajili ya kupitisha mkojo tu,unapo taka kuingiza uume lazima damu itoke maana lile tundu linalazimishwa kutanuka na ule utandu unozunguka unapasuka, labda kama iliyaharibiwa kwa namna yoyote ile.
ndo hivyo mkuu nyingine huwa zinatoka hata kwa kuendesha baiskeli n.k,au pia inawezekana jamaa ana kibamia
(nb:mtoa mada asisome hapa)
 
Acha uasherati we kijana...acha kabisa :suspicious:
 
Hapo umepigwa chezo la mjini...vumilia na mupenzi wako futa mawazo ya bikra na ulichokikuta ndicho alicho nacho. Ungekutana na waliofika mapema wangejiumiza au kujifinya kunako bikra mawazo then ungekuja na furaha ya ulianza wewe kumbe ulimalizwa wewe.
 
Back
Top Bottom