Ndio kule kuna ngoma, acha kukimbia ukweli.
Mademu wa kule wababe kama Chaka Zulu, ukijiweka kizembe utakuwa unakula za uso kila siku.
Umesahau kuweka picha.
waambie ndugu zako waandae hela ya kusafirisha maiti kabsa maana wale ni kuchoma wanaume visu tu. Mie ndugu zangu watatu tumezika wote kupgwa visu na wanawake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.