Kwa heri Dodoma

Kwa heri Dodoma

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Nawashukuru wakazi wa Dom kwa ukarimu wenu hadi mkanionyesha Rose Garden ya huko na viunga mbalimbali .

Leo ndo naiacha Dom maana Wazee wa Bunge la Katiba wameanza kuingia fujo kila kona Ukimwita mwanamke anakuuliza.

"Eti kwani we ndo nani"Nikaona kimeisha nuka mjini lazima ujitambulishe!!
 
Nawashukuru wakazi wa Dom kwa ukarimu wenu hadi mkanionyesha Rose Garden ya huko na viunga mbalimbali leo ndo naiacha Dom maana Wazee wa Bunge la Katiba wameanza kuingia fujo kila kona Ukimwita mwanamke anakuuliza :"Eti kwani we ndo nani"Nikaona kimeisha nuka mjini lazima ujitambulishe!!


kama hukwenda Chako ni Chako, au kule kwenye kitimoto, basi we hujafika Dodoma.
 
dodoma ngoni zembeee ipoo saaanaa...kuna hata video ya ngono ya mheshimiwa fulani na mwanafunzi wa cbe dodoma......
 
As if u were in my mind, I just wanted to ask the same question to Kakakiiza

Si awaambie tu kuwa yeye ndie yule pedeshee wa JF tatizo nini?
Au hajui kuwa JF inauza siku hizi hata bungeni?
 
kama hukwenda Chako ni Chako, au kule kwenye kitimoto, basi we hujafika Dodoma.
Mkuu chako ni chako imefungwa kwa sababu hawakuwa na mashine za EFD Wakatia na wao mgomo labda wafungue leo!
 
Eheee kidole na jicho kucha zangu nazipenda.

Mkuu JF inauza sana
Ungewaambia tu kuwa wewe ndie KakaKiiza nakuambia ungewakimbia vile ambavyo wangejazana kuhitaji huduma yako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom