Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 777
Angalizo:
Hauhitaji kuwa mganga wala mchawi kujua mambo haya yatatokea leo!! Hauhitaji TB Joshua akwambie haya;
1. Pharmacy zitatengeneza hela nyingi sana hapo kesho kwa mauzo ya Morning After Pills baada ya wazee wa knuckle to knuckle aka bare fists kuharibu kwa kisingizio cha valentine! Ila pharmacy wamesema mzigo upo wa kutosha, unaweza kukosa panadol lakini sio Postinor2.
2. Vyumba vimejaa au Hakuna nafasi ndio habari ya mjini. Wahi nafasi la sivyo utaenda gesti Kibaha. Wamiliki wa gesti wameongeza mataulo, sabuni za eva na mashuka maana short time zitakuwa nyingi. Wale wazee wa Mahali ulipotoka: Dar,Mahali unapoenda: Dar,mnasuburiwa kwa hamu!
3. Mpenzi wako ataibiwa simu na hatapatikana mpaka kesho maana anarenew line mpaka yapite masaa 24. Na TANESCO watalaumiwa sana kwamba hamna umeme na simu hazina charge,akili kichwani kwako!
4. Utatolewa dinner mapema saa 12 jioni mpaka saa 3 usiku ili jamaa awahi shifti nyingine ya saa 4 usiku na maua yaleyale uliyotoa yatapelekwa. Inaitwa time management and cost efficiency.
5. Ugomvi wa mwaka jana utaanzishwa upya na utanuniwa mwanzo mwisho,ukikosea herufi kwenye msg au ukapigiwa simu ikaita mara moja hujapokea utasikia 'it's over' ila usijali kesho itakuwa sawa!!
Usiseme haukujulishwa!!
SOURCE:https://www.facebook.com/msando.alberto/posts/679416192100477?notif_t=notify_me