Ndugu wana MMU, sayansi ni pana. Kuna ile ambayo ni ya msingi (Natural Science) na ile ambayo si msingi (Social Science). Natural Science pia ina matawi mengi sana, na ni hii science ambayo wataalamu wake huitwa Wanasayansi i.e scientists. Katika hii science, kuna elimu ya viumbe hai (Biology) ambayo inatafuta kuelewa njia za utendaji kazi wa mifumo ya viumbe hai.
Viumbe hai vipo vya aina mbalimbali, kulingana na umbo na utata wa mifumo ya utendaji kazi mwilini. Hii elimu kwa upande wa jinsi ya utendaji kazi wa mifumo ya mwili huitwa fiziolojia (physiology). Mfano ni vile chakula kinavyoenda kufanya kazi mwilini, na utendaji wa mfumo wa uzazi.
Kwa wenzetu wazungu, ni kawaida wengi kuwa na uchu wa kujua hili somo la biolojia hasa kipengele cha fiziologia. Hata kama wamesoma science jamii kama sheria n.k. Kusudi ni kutaka kujielewa namna miili yao binafsi inafanya kazi.
Kwa hapa nyumbani watu hatuna utamaduni huo, zaidi wanafunzi wengi wanachukia hata somo lenyewe la biolojia, wakisema lina mambo mengi na linahitaji kukalili sana. Lakini wakifika utu uzima, wanaanza tambua umuhimu wake na kupenda kuuliza maswali hasa ya uzazi (hapa ni pande zote mbili i.e jinsia). Wakati kwa ufupi elimu ya kidato cha nne ingetosha kujibu baadhi ya maswali mengi yanayoulizwa na hawa watu. Hata hivyo waathirika wakubwa wamekuwa ni wanafunzi waliyosoma shule za ufundi (technical schools) enzi hizo, kama Tanga Tech.
Hili somo la biolojia, lina umuhimu mkubwa sana kwa wanawake. Simaanishi wanaume haliwahusu, la hasha. Ni lazima pia wajue, maana wengi wamejikuta wakipachika mabinti mimba wasiyoitaka na baadaye kuwaharibia maisha hawa mabinti.
Kuna faida nyingi za kuelewa somo hili la biolojia, hasa kipengele cha fiziologia. Hata hivyo kama ilivyo kwa elimu nyingi, mfano fizikia imegundua nishati kama ya nyukilia lakini imekuwa na majanga vilevile kwa maisha na usalama wa binadamu na viumbe vingine. Hapa namaanisha bomu la nyukilia (ref. Hiroshima) na vinu kulipuka (ref. Fukushima na Chenobiry).
Kwenye somo la biolojia pia, kuna faida nyingi sana lakini hasara zipo vilevile. Hasara sitazungumzia siraha za biolojia kama vile kimeta (anthrax) lahasha, nitazungumzia hasara zake ktk maisha ya kila siku ya kijamii hasa mahusiano na upendo km ilivyo Valentine (leo)ambayo wengi wanachukulia km siku ya kimahaba.
Kwa wanaoelewa hili somo la fiziolojia lazima watakuwa wamelitumia kuwapata wasichana wagumu (hasa wapenda mshiko au u-HB), ambao kwa kuwatongoza kawaida wasingeweza kuwapata.
Ni kweli, kuwa hapana binadamu asiyetaka ukaribu/ urafiki/upendo (attachment). Wengi tunatarajia kuwa na ukaribu wa kila aina ya mtu.
Kwa upande wa wanaume, ni kawaida kutongoza (hata wasichana siku hizi) lakini siku zote imekuwa fifty fifty. Kukubaliwa au kukataliwa. Hili linategemea sana gia unayoingia nayo.
Nikiacha suala la kutongoza, kuna njia ya kuomba urafiki, ukiwa na ajenda ya kugegeda baadaye. Mnakuwa marafiki wakati mnazungumzia mambo mengine na ishara ya take care zinakuwa kawaida kuonesha kujali.
Fiziolojia itasaidiaje kuwakutanisha ili kuhitimisha? Inategemeana na muundo wa urafiki wenu. Kwenye mazungumzo yenu lazima (kama unajua fiziolojia) utajua wakati gani mzuri kumgegeda/au mgegedane bila kuingia hasara yoyote ya kifedha, wala kupeana mimba isiyo lazima.
Na ukijua leo ni Valentine wengi hawana watu wao na lakini wanahitaji attachment, na fiziolojia inalo jibu kwa nini inakuwa hivyo.
Somo litaendelea baadaye, naingia majukumu saivi. Nitajitahidi kutatua maswali mengi kupitia hii mada ambayo ni mengi sana ktk jamii, zaidi kuhusiana na faida mbalimbali za elimu ya fiziolojia. Bila shaka humu JF kuna wataalamu wengi, ulizeni maswali yatajibiwa.