Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 492
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza sana hata hivyo cjapata jibu yakini! Je, ni kwa nini mwanamke anapokuwa kwenye mazoezi ya kawaida anaonekana kuwa mzito sana, lakini akiwa kwenye 6x6 unaweza kumkunja vyovyote unavyotaka na akaweza kufanya sarakasi zote bila shida yoyo na huku akiwa amebeba zaidi ya kg 70 kifuani mwake? Hapa inakuwaje?!