Mambo ya Valentine's hayo!chezea toni touch wewe!

Mambo ya Valentine's hayo!chezea toni touch wewe!

kibella24

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
677
Reaction score
158
Siku kama ya leo (14/02kila mwaka) imezoeleka watu kupeana zawadi na kuspendi time pamoja especially kwa wapenzi (japo siku hii tafsri yake ya halali sio siku ya wapenzi kwa maana ya wenye uhusiano wa kimapenzi, bali ni kwa wapendanao wote, yaweza kuwa familia,ndugu, jamaa na marafiki).Sio vema kutafutiana sababu, kama huna kitu Valentine hii mwambie mwenzako kwa uwazi tu, atakuelewa!
attachment.php
 

Attachments

  • Valentine.jpg
    Valentine.jpg
    35.9 KB · Views: 484
Sie wengine sms tumetumiwa roho kwatu nyeupee
Mnaosubiri zawadi ndio hayoo
 
Back
Top Bottom