Lizzy kwani wewe sio mdadaKesho hutopata gharama sana maana hamna kiingilio.
Jamani wadada changamkieni fursa. Wakaka mnaojifanya hamtaki kuwafurahisha watu wenu kesho mtapigwa sana mabao. Yani ukisusa wenzio wameshanawa mikono tayari kula.
changamkia fursa...
Lizzy kwani wewe sio mdada
Watu wanavyoitukuza hiyo valentine's day khaaa...hii sijui ni sredi ya ngapi sasa!!!
Bado sijapata mtu fungukeni wadada
Kila lenye heri kaka
mbona unawalilia wadada au ndo unataka ukawape UKIMWI,ukapate wa kumtoa kafara maana leo ndo rahisi kuwapata? namashaka sana na mtu anayejitangaza,huyo wako wa siku zote yuko wapi? wadada ogopeni kama ukoma migumegume kama hii mtajuta kuzaliwa siku moja ikageuka shubiri maisha yako yote.