Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, kuna taarifa kuwa kuna aina mpya ya Kisonono kisichotibika unayoambaa duniani. Zamani ilikuwa ukiambukizwa unachoma sindano ya PPF (Penicillin) gonjwa kwisha! Sasa hizo sindano wala...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanaume SIRIAZ akikusifia kwa kutembea Nyonyo nje,nyie mnaita Boobs,na MAkalio yakishika Nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati,huwa na nia moja tu,KUKUMEGA,KUKUCHAPA,na KUKUSHIKISHA ADABU...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
SEHEMU YA NNE MTUNZI: JOSEPH SHALUWA ILIPOISHIA... “Lakini jambo lingine linalowashtua zaidi watu ni tabia yake ya kujipenda kupita kiasi. Muda wote msafi, ananukia marashi, ananyoa...
1 Reactions
1 Replies
9K Views
Habari zenu kwa kila mmoja, Naam bila kupoteza muda niende kwenye maada kuna dada mmoja nilibahatika kukutana naye humu jukwaani, tukapeana namba za simu mawasiliano yakaendelea lakini huyu dada...
0 Reactions
121 Replies
10K Views
Natafuta mchumba wa kike: Am 28yrs old and I live in Denmark. Tuwasiliane kupitia: abriel_00@live.dk skype: chiba.aaroon Only serious people please.
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Napenda kujua tofauti kati ya msichana na mwanamke ni nini umri au kuna vigezo vingine maana maana ya kiswahili na kiingereza nitofauti ningependa kujua nini tofauti?
0 Reactions
43 Replies
30K Views
Wanajanvi kwanza nianze kwa kuwapa hi. Mko powa jamani? Mimi ninashangazwa na tabia wanayoifanya madada wengi wa huku kwetu uswazi, nimefikisha kama saba hivi, ambao niliwahi kuwaomba mechi...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Naingia lodge ya tano naambiwa haya maneno. Nyie watu mnafanyaje huko ndani? Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu dada nampenda,tabia yake nzuri na naamini ananipenda pia.Nlitamani awe mama wa watoto wangu,ktk kutokubaliana kuhusu wazo langu lakumuoa mwaka huu hatmaye alkubali.Lakn akaja na jipya ambalo...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Wakuu habari jaman, hii ni new combination ya bidhaa hii kama unataka kitambi mwli mkubwa na we uwonekane kama mambo yako ni saaaafi kabisa basi piga hii kitu banana au kwa jina lingine akanana au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Pengine kwa namna moja au nyingine kwa wale ambao leo mlijumuika pamoja na wale muwapendao regardless kwamba ni wapenzi, ndugu, jamaa ama rafiki. Endapo ulibahatika kupokea zawadi...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari zenu wana MMU nadhani Valentine day imeenda poa kwa kila mtu ningependa kujua kati ya mwanamke na mwanaume ni nani mvumilivu katika mapenzi? na ni kwa nn? happ V day ,,,
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni mme wa mama mdogo mchungaji wa kanisa la EAGT hapa Dar, Alimleta huyo mtoto amwendeleze kielimu akiwa na miaka 14 sasa ana 16 amezaa last week ni copy ya baba mdogo na amegoma kupima DNA na...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Malezi ya watoto ni jukumu la baba na mama lakini kwanini kina mama ndo huwa wanaonekana ni chanzo cha watoto kuharibika?yani anabebeshwa lawama zoooote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The Pencil Maker took the pencil aside, just before putting him into the box. “There are 5 things you need to know,” he told the pencil, “Before I send you out into the world. Always remember them...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Valentine imekwisha na maisha yanasonga kama kawa,kama ulikuwa limbukeni na kupelekeshwa na masaa 24 tu na yakakuingiza kwenye madeni lukuki na hadi kumekucha una msongo wa mawazo hiyo ni juu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu,kuna jambo linanitatza..kuna binti mmoja namfukuzia hapa chuo,huyu binti niseme tu kuwa yeye ndie aliyechochea hadi mie kuanza kumfukuzia kwa sababu kabla ya yote nilikua namchukulia kama...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kutakuwa na : 1. Kufulia kwa wanaume waliojitutumua kuwanunulia mademu zao vitu vya dhamani kuzidi uwezo walio nao 2. Kutendwa kwa pande zote mbili hasa hasa wanawake baada ya kutumiwa. 3. Kudumu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hizi movies (za kigeni) tuna angalia angalia sometimes kuna mambo ya kujiuliza pengine yanaweza yakawa yanakuhusu. Je na wewe yakikutokea utafanya nini nini? Mwanamke mmoja masikini alikwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pindi nilipojiunga chuo kimoja hapa bongo, nilikuwa kijana mwembamba, tall HB fulani hivi. Nikakutana na msichana moja , ngoja nimuite Angel. Angel alikuwa ni mzuri na yupo classy. Tukawa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…