Tofauti kati ya msichana na mwanamke

qn of sheba

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,230
1,359
Napenda kujua tofauti kati ya msichana na mwanamke ni nini umri au kuna vigezo vingine maana maana ya kiswahili na kiingereza nitofauti ningependa kujua nini tofauti?
 
Mwanamke ni binadamu mwenye jinsi(sex) ya kike na msichana ni mtoto wa kike ambaye bado hajazaa na kwa mazoea yetu ni Kati ya miaka 12-18
 
Napenda kujua tofauti kati ya msichana na mwanamke ni nini umri au kuna vigezo vingine maana maana ya kiswahili na kiingereza nitofauti ningependa kujua nini tofauti?

Niambie umri wako kwanza kabla sijakufafanulia

Nataka nijue umri wako ili nione ninachotaka kukueleza kama utaweza kukielewa au nitakua nmpigia mbuzi gitaa tu!!
 
mwanamke ni binadamu mwenye jinsia ya kike na msichana ndio wale kwa kizungu wanaiwa ma teenager yaani 12yrs to 18yrs
 
Msichana ni mtu mwenye jinsia ya kike ambaye hajatimia umri wa utu uzima
150px-Young_Peul_girl_in_Mali.jpg

Mwanamke ni mtu mwenye jinsia ya kike ambaye ameshatimiza umri wa utu uzima..
images
 
Niambie umri wako kwanza kabla sijakufafanulia

Nataka nijue umri wako ili nione ninachotaka kukueleza kama utaweza kukielewa au nitakua nmpigia mbuzi gitaa tu!!

Nina miaka 25 ila tulikuwa tuna bishana hapa wanaume na wanawake nini tofauti ya hayo maneno mawili kila mtu alitoa mawazo yake binafsi na hatukupata muafaka hadi leo.
 
Nina miaka 25 ila tulikuwa tuna bishana hapa wanaume na wanawake nini tofauti ya hayo maneno mawili kila mtu alitoa mawazo yake binafsi na hatukupata muafaka hadi leo.
Huenda ukanielewa,ngoja nijaribu,
Mwanamke ni binadamu mwenye jinsia ya kike ambae ana ukomavu kiakili

Msichana ni bonadamu mwenye jinsia ya akili asiyekuwa na ukomavu kiakili

The same thing kwa Wanaume na wavulana!
 
Ambaye yuko sealed ni msichana, ambaye sio ni mwanamke.

Si ushasikia ishu ya "kumtoa usichana wake", ndo ivo ss.
 
Binti ni yule ambae ana seal (bikra) yake.

Mwanamke ni yule ambae seal (bikra) imebanduliwa.
 
Huenda ukanielewa,ngoja nijaribu,
Mwanamke ni binadamu mwenye jinsia ya kike ambae ana ukomavu kiakili

Msichana ni bonadamu mwenye jinsia ya akili asiyekuwa na ukomavu kiakili

The same thing kwa Wanaume na wavulana!

hapa ulikusudia kike sio?ufafanuzi wako unaeleweka vizuri
 
Let me explain it in the angle of relationships because i know that's where a lot of people are more interested in:

  1. A girl is interested in what can be done for her. A woman (or lady) gives as much as she receives.
  2. A girl throws a tantrum when she doesn't get what she wants. A woman (or lady) communicates clearly what is bothering her.
  3. A girl is more concerned with how she looks on the outside. A woman (or lady) is more concerned about her character on the inside.
  4. A girl wants attention. A woman (or lady) carries herself in a way that commands respect.
  5. A girl believes whatever you say about her, good or bad. A woman (or lady) knows exactly who she is no matter what you say, or don't say.
  6. A girl needs a boy to feel complete. A woman (or lady) knows she is complete with or without a boy or man.
  7. A girl doesn't know what respect is. A woman (or lady) has no problems respecting others, and knows how to do so.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom