Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Huyu dada nampenda,tabia yake nzuri na naamini ananipenda pia.Nlitamani awe mama wa watoto wangu,ktk kutokubaliana kuhusu wazo langu lakumuoa mwaka huu hatmaye alkubali.Lakn akaja na jipya ambalo linanipashda kulikubali,ana mtoto wa miaka mitano.Linaniwia gumu sana mimi kulikubali na awe mke wangu pamoja na mtoto wake.Kweli nampenda ila hli limenivunja moyo.Hebu naomba ushauri ambao labda unaweza kunipa uahueni kdogo naona kama yamenilemea.