Malezi ya watoto

Malezi ya watoto

Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
407
Reaction score
246
Malezi ya watoto ni jukumu la baba na mama lakini kwanini kina mama ndo huwa wanaonekana ni chanzo cha watoto kuharibika?yani anabebeshwa lawama zoooote
 
Uonevu na mila kandamizi ndio Vinavyochangia. Hata mtoto wa kike akipata mimba utakuta mama na mtoto wanafukuzwa wote eti mama alijua toka mwanzo mwenemdo wa bintiye. Na alimdekeza bila kuchukua hatua au hata kumwambia mumewe.
 
Mfumo wa maisha ya miaka ya nyuma mama alikuwa anakaa muda mrefu na watoto kuliko baba hivyo kupelekea lawama kumuangukia mama kwenye swala zima la malezi.
 
Lawama hazipaswi kwenda kwa mama tu ,au baba bali jamii walimu nk ,watu wa dini nk nk
 
Kwa sababu mama ndio hukaa na mtoto muda mwingi
 
Back
Top Bottom