autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Kutakuwa na :
1. Kufulia kwa wanaume waliojitutumua kuwanunulia mademu zao vitu vya dhamani kuzidi uwezo walio nao
2. Kutendwa kwa pande zote mbili hasa hasa wanawake baada ya kutumiwa.
3. Kudumu kwa mapenzi kwa wale walio wenye msimamo na mahusiano
Hebu toa utabiri wako baada ya valentine.