Sorry vyumba vimejaa

Sorry vyumba vimejaa

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Naingia lodge ya tano naambiwa haya maneno.
Nyie watu mnafanyaje huko ndani?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Inategemea na bei na maeneo ulipo vile vya kuanzia 25 kuendelea havijai sana
 
Endelea kutafuta mkuu,utafanikiwa. Mi sijampata hata wa kuniwezesha kutafuta hilo eneo,nakuonea wivuu!
 
nilijua tu lazima nikutane na thread kama hii
 
Njoo uchukue changu mimi silali ila nimelipia mpaka asubuhi
 
Naingia lodge ya tano naambiwa haya maneno.
Nyie watu mnafanyaje huko ndani?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

sasa mbe Bulldog na wewe unaenda kufanya nini huko peke yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom