Mwanaume serious, Mume material

Mwanaume serious, Mume material

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Mwanaume SIRIAZ akikusifia kwa kutembea Nyonyo nje,nyie mnaita Boobs,na MAkalio yakishika Nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati,huwa na nia moja tu,KUKUMEGA,KUKUCHAPA,na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI,na Sifa zitaishia hapo.Hakuna Mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa MWanamke asiye SIRIAZ...Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mmewe zionwe na kila Mwanaume.Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hiziza Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni...Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA nasio Muuza mwili.SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO,Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE...Hatuoi Ujinga!

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Ngoja wahusika waamke, mimi thread hii hainihusu hata tone kwani nilishashikishwa adabu na Lady doctor long time ago.

Wasichana sikilizeni ushauri huo hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
na wao huwa wako kibiashara zaidi, ukimkonyeza tu na ukaonesha pochi yenye wekundu wa msimbazi anaahirisha hata safari yake, hata kama alikuwa anaenda kanisani. we wamege tu na kusepa.
 
Mimi nilidhani ni kabinti kawife material kameamua kutafuta husband material(Infact ni kama mimi) nikadhani nitakuta thread iliyosheheni minyama,thread iliyokamilika sio kama zile tulizozoea nikajiandalia akili ya PM...Any way ushauri wako ni mzuri ila unahamasisha ukicheche kwa wanaume......Baki njia kuu (Hapa wabongo watachakachua hili tangazo la Kibonde kama walivyochakachua jina la ule mtandao!)...Epuka njia ndogo!!
 
njia ya kwenda uwani iko wapi alafu kk humu muna choo cha nje tu
 
Lols. Eti wanaume sio wajinga km wanavyoonekana usoni.
 
Mwanaume SIRIAZ akikusifia kwa kutembea Nyonyo nje,nyie mnaita Boobs,na MAkalio yakishika Nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati,huwa na nia moja tu,KUKUMEGA,KUKUCHAPA,na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI,na Sifa zitaishia hapo.Hakuna Mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa MWanamke asiye SIRIAZ...Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mmewe zionwe na kila Mwanaume.Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hiziza Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni...Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA nasio Muuza mwili.SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO,Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE...Hatuoi Ujinga!

In this world nothing is certain than Tax and Death.
Full Udhalilishaji !
 
Kweli mkuu!Eti NYONYO mara KALIO.....Teh teh teh
Mkuu... Hawa ni Bibi zetu,Mama zetu, Dada zetu, Shangazi zetu, pia maBinti zetu... Viumbe ambavyo vinakiungo kikubwa ndani mwetu !! Shame kwa wanaume wasiyojua fadhila za "wanawake".
 
Umeelewa mada lakin? Mleta mada anasemea wale ambao hawajiheshim na wanao tumia ma.kalio na nyo.nyo kama chambo!!!! Au mim ndio sijamwelewa!?

Alafu unaposema ni mama zetu kama sikwelew!! Yani mama zetu na dada...shangaz zetu wasio jiheshim? Nooo!! Acha waliwe tu...tumechoka!!!
 
Ni kweli kabisa. Ila thamani yao ni kubwa sana wanapovaa nguo za heshima zenye kufunika 'nyonyo' na 'kutobana makalio'.

Binafsi, nikimwona mwanamke aliyeacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi 'huwa napatwa na wasiwasi kama yupo sawa kichwani'.

Hata wewe sidhani kama unaweza kuwa na mahisiano na mwanamke anayejiacha wazi halafu ukamtambulisha kwenu kama 'mchumba'. Ninauhakika utakuwa unamega huko mafichoni.
 
Umeelewa mada lakin? Mleta mada anasemea wale ambao hawajiheshim na wanao tumia ma.kalio na nyo.nyo kama chambo!!!! Au mim ndio sijamwelewa!?

Alafu unaposema ni mama zetu kama sikwelew!! Yani mama zetu na dada...shangaz zetu wasio jiheshim? Nooo!! Acha waliwe tu...tumechoka!!!
Mkuu nimekuelewa, Kilichopelekesha huko kwa wasiojiheshimu ukichunguza utakuta SABABU ni nani? ( utakuta Vibuti,Kutoswa,Hiyana,ubabe nk) !!
Mkuu tuwe fair.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom