Habari wanajamvi,
Kuna baadhi ya mambo wanawake wanatakiwa kuyafahamu ili waweze kufurahia tendo la ndoa
1.Mazingira ya kufanyia tendo yawe safi na tulivu
2.Mama asiwe na njaa yaani awe amekula...
Mary ni mtoto wa Tatu katika familia ya mzee. aishiye huko iselamagazi bariadi mkoani Simiyu.
Simulizi.
Nilizaliwa wa tatu katika familia yetu.
Nilibahatika kusoma mpaka kidato cha nne katika...
Wadau kama unahitaji mwenza wa maisha awe mwanamke au mwanaume tafadhali ni-PM na nitakuunganisha bure kabisa kwa sasa nilionao kwenye list ni wadada wanatamani kupata wenza wenye umri kuanzia...
Nahitaji mume kuanzia 40 na kuendelea, mimi ni single mother nina mtoto mmoja naishi dsm mwenye kunipm tutawasiliana zaidi. Alie serious anipm mkristo kipaumbele zaidi na mcha mungu awe na kazi...
habarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita...
mods samahani sana kwa hili la leo, nakuomba ufunge hili jukwaa la mahusiano mpaka bunge la katiba liishe, kwa sababu kwa sasa kila mtanzania anatakiwa macho yake yote ni bunge la katiba...
Habari wanajamvi.
Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati...
Huyu mtoto wa kike naishi nae hapa mtaani ni mwezi sasa tangu akubali ombi langu. Sasa wadau kilichonichosha, ingawa tuko mtaa mmoja, akawa anataka tuwe tunawasiliana kwa simu tu kama tunaishi...
poleni na mihangaiko ya siku na mimi katika pitapita zangu kwenye mihangaiko yangu nimekutana na hii habari nikaona ni vyema nipate ukweli juu ya hizi gharama za kuoa je ni kweli ndugu zangu...
Hivi mtoto ni wa BABA au ni wa MAMA?Fuatili kisa kifuatacho.
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili HAKIMU aamue nani akae na mtoto!
MUME:Akasimama akauliza hivi;"Hakimu hivi nikchukua...
nashindwa kuelewa kama ninatatizo la nguvu za kiume au vipi? Nikiwaona mabinti wamevaa nusu uchi uume wangu husimama kiasi cha kuhisi maumivu makali sana!. Napokuwa kitandani na demu jamaa...
Jamani mimi sielewi, mara nyingi nimekuwa nikihudhuria mikutano ya maombi kwenye makania maarufu sana hapa mjini dsm, lakini katika utafiti wangu nikaona kitu ambacho sijaelewa, 80% ya watu...
Niliomba mchumba humu,nikatoa sifa zangu,kuwa ni mwalimu private school,nahitaj mchumba mwaminifu,aliye na kazi yoyote toka arusha tukifahamiana twende kwa wazazi na tufunge ndoa,aliye tayari na...
Kuna nchi zimepitisha sheria kwamba mmojawapo wa wanandoa akafungwa jela basi mwenzi wake ana haki ya kumtembelea mfungwa huyo na kumpa haki yake ya ndoa.
Nimeangalia picha nyingi za majuuu...
Jamaa anasema alikuwa anampenda huyo msichana ile mbaya wote wanasoma chuo kimoja.
Jamaa akavimba na huyo binti mpaka akaingia kingi basi wakakubaliana wakutane hotel wakapiga maanjumati baada ya...
Nimeikurupuwa FB!
STORY FUPI YA MAPENZI YA KUHUZUNISHA YENYE MAFUNZO KWENU HASA HASA WAKINA DADA.
"Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi...
Nimesikia wimbo wa Kizazi kipya leo redioni, sijajua ni nani mtunzi na mwimbaji, lakini kijana huyo amefanikiwa kunitisha sana kwa maneno yake mazito.
Baadhi ya maneno ya wimbo wake yanasema...