Kama ungalikuwa wewe utafanyaje?

Kama ungalikuwa wewe utafanyaje?

comfix

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
59
Reaction score
11
Habari wanajamvi.

Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao.

Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa.

Ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne.

Nipeni ushauri.
 
usimwache bila kujiridhisha kwamba ni kweli unachapiwa. maana na wewe unakamsururu mwisho utaonekana unagubu tu...coz ushaacha wanne si haba.
 
Habari wana jamvi. Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao. Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza "Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa" ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne. Nipeni ushauri.

wewe ndio problem, inaonesha una wivu wa kupitiliza! Endapo utaendelea hivo utaishia hivo hivo kuoa na kuacha!
 
Kabla ya kuamua kumuach jichunguze wewe una mapungufu gani, maana kama na huyu ukimuacha atakuwa wa nne lazima kuna vitu haupo sawa na ndio maana inapelekea kuacha acha mara kwa mara.
 
...duh...nne....una tatizo wewe mangi!!! umeoa na kuacha wa3 tayari, huyo wa4, au unakaba mnaishi kinyumba tuu, umeshazaa na hata na m1? au una watoto wangapi katika uasherati wako huo? tafakari kwa makini,,maisha hayana rivasi....
 
Kabla ya kuamua kumuach jichunguze wewe una mapungufu gani, maana kama na huyu ukimuacha atakuwa wa nne lazima kuna vitu haupo sawa na ndio maana inapelekea kuacha acha mara kwa mara.

......gundu tuu,,,
 
Habari wana jamvi. Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao. Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza "Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa" ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne. Nipeni ushauri.

hapo tatizo sio kuongea na huyo mzazi mwenzie ila unamuachavile ndo tabia yako ya kuoa na kuacha
 
Kuchapiwa mbona kawaida tu, Na ukichapiwa we mezea tu wala usimwache.
 
Kukwambia alikuwa anaongea na ex sio jambo jepesi ndio maana alibabaika ulipomuuliza nani alikuwa anaongea naye. Sio lazima awe anatembea naye huenda wanazungumzia tu habari za Baraka na mahitaji yake. Kuongea naye kwa unyenyekevu sio ushahidi kwani kama angekuwa kaka yake angeongeaje anapoulizwa lwa nini kakata simu?
Kwa hiyo kuchukua uamuzi wa kumwacha bila ushahidi wowote sio busara kabisa endelea kumwamini hadi upate ushahidi.
 
Mpe onyo la sivyo muache anaongea nae kwa kujitetea kwa nin hakumuoa,wanawake wengine banaa
 
Huyo hafai bado anampenda mzazi mwenzie na inawezekana anakuchuna hela anampelekea wamjengee mtoto wao baraka
 
Wivu wa nini ndugu yangu, unajuaje labda baba Baraka ndiye aliyembikiri? Nikuibie siri, piga ua galagaza mwanamke hamwachi aliyembikiri ng'o!
 
Habari wana jamvi. Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao. Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza "Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa" ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne. Nipeni ushauri.

mkeo kachanganyikiwa.. na wewe umechanyikiwa pia?

:A S 13:
 
Mpe onyo la sivyo muache anaongea nae kwa kujitetea kwa nin hakumuoa,wanawake wengine banaa

kuna sehemu nimekuona unanitafuta ubaya!!

ngoja na wewe nikupikie dawa yako....
 
mbona watu mnatoka nje ya mada jamani?

mmeulizwa.. '' ungelikuwa ni wewe, unglifanyaje''?

mimi kwa kweli kwa upande wangu,.... ningewacharanga mapanga wote wawili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom