Girlfriend wangu hatak kubadilika

Girlfriend wangu hatak kubadilika

jem_the_great

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
289
Reaction score
159
habarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita na kuongea nae akaniambia kuwa yy amezaliwa na tabia ya ukal kwahiyo hawez badilika na kama inanikwaza n bora tuachane ila ndivyo alivyo.na sababu kuu ya ukali anadai ni yy kua na ulcers xo inamfanya achukie kila mara!!je n kwel kuna binadam asiye badilika?naomben msaada wanajamv juu ya hili..
 
Mtafutie tiba ya ulcers akishapona ndio utathibitisha kama ndio ilikuwa sababu ya ukali wake.
 
Si ameshakueleza sababu za yeye kuchukia?? Kwa hiyo inatakiwa uzoee la sivyo tibu hayo matatizo uone kama ataendelea
 
Nahisi kama ameshakueleza lake la rohoni,ilobakia ni wewe kusuka au kunyoa, au kwa ufupi anamanisha ameshakushiba,
la unataka uhakika zaidi kaa kimnya usimpigie wala sms usimtumia uone jee atakutafuta...
 
some time wanaume tunatakiwa tuchukue uamuzi mgum la sivyo kuna siku atakuambia ulale chini au atakuletea jamaa ndani. endelea na upunga wako uone mwisho wake
 
habarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita na kuongea nae akaniambia kuwa yy amezaliwa na tabia ya ukal kwahiyo hawez badilika na kama inanikwaza n bora tuachane ila ndivyo alivyo.na sababu kuu ya ukali anadai ni yy kua na ulcers xo inamfanya achukie kila mara!!je n kwel kuna binadam asiye badilika?naomben msaada wanajamv juu ya hili..
.....ulcer haziusiani na hasira...ila hasira za mara kwa mara(stress) inaweza kuchangia mtu kupata ulcer....huyo hakupendi wala hakuheshimu...especialya anavyorahisisha kuachana hivyo
 
habarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita na kuongea nae akaniambia kuwa yy amezaliwa na tabia ya ukal kwahiyo hawez badilika na kama inanikwaza n bora tuachane ila ndivyo alivyo.na sababu kuu ya ukali anadai ni yy kua na ulcers xo inamfanya achukie kila mara!!je n kwel kuna binadam asiye badilika?naomben msaada wanajamv juu ya hili..

Anza kubadilika wewe kwanza na hizo "xo" zako--Unathibitisha jinsi gani unavyokera!

Usipende kufanya mambo kuwa magumu,nime-bold kukufupishia.

Jiongeze mwenyewe!
 
habarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita na kuongea nae akaniambia kuwa yy amezaliwa na tabia ya ukal kwahiyo hawez badilika na kama inanikwaza n bora tuachane ila ndivyo alivyo.na sababu kuu ya ukali anadai ni yy kua na ulcers xo inamfanya achukie kila mara!!je n kwel kuna binadam asiye badilika?naomben msaada wanajamv juu ya hili..

mpige chini papuchi zipo tu.
 
some time wanaume tunatakiwa tuchukue uamuzi mgum la sivyo kuna siku atakuambia ulale chini au atakuletea jamaa ndani. endelea na upunga wako uone mwisho wake

unanikosha sana mkuu! Hapa nyuma mwiko, daima mbele!
 
kama vp na wewe kuwa mkali mara 2, mwisho atachuja mwenyewe..hasikupande kichwani huyo -----!
 
Back
Top Bottom