gumboot
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 263
- 93
Habari wanajamvi,
Kuna baadhi ya mambo wanawake wanatakiwa kuyafahamu ili waweze kufurahia tendo la ndoa
1.Mazingira ya kufanyia tendo yawe safi na tulivu
2.Mama asiwe na njaa yaani awe amekula hasa vyakula vyenye maji maji kama supu n.k
3.Vitendeea kazi kama maji ya kuoga na vitaulo visafi kwa ajili ya jasho na mambo mengine.
4.Usafi binafsi wa mwili.
5.Weka mawazo yako yote pale usiwaze vitu tofauti.
6.Imagine kuenjoy.
7.Excuse zipungue ili zisimkatishe baba tamaa
8.Usipokee simu
9.jishughulishe kama mwenza wako anapenda.
kama unayo mengine ongezea hapa.......
Naomba kuwakilisha.