Aibu ya mwaka...

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
Jamaa anasema alikuwa anampenda huyo msichana ile mbaya wote wanasoma chuo kimoja.

Jamaa akavimba na huyo binti mpaka akaingia kingi basi wakakubaliana wakutane hotel wakapiga maanjumati baada ya muda wakazama rum.Jamaa anasema ile wamezama wakaanza kutomasana tomasana, wakavuana nguo wakabaki kama walivyozaliwa.Hapo ndiyo shida ilipoanza jamaa anasema alivyomuona yule msichana akiwa hana nguo (maana anadai huyo binti ni mweupe aliyejaliwa umbo namba nane).

Mapigo ya moyo ya jamaa yakabadilika kabisa wakaendelea kutomasana kwa sana binti anamlamba jamaa kila mahali na jamaa vile vile.Jamaa kuchek mtarimbo upo doro yaani kama hauusiki na chochote katika zoezi hilo.

Ikafika mahali binti akawa anahitaji haki yake jamaa anajaribu kushtua kitu wapi matarimbo umegoma kabisa.Yule binti akashtukia akaukamata mtarimbo mwenyewe chezea sana wapi kitu doro.

Yule binti sababu alikuwa high sana anataka kulazimisha uzame hata ukiwa doro lakini wap.

Basi yule binti akamsukuma jamaa akamwambia sasa umenileta huku kufanyaje, Kama unajijua unamatatizo ulikuwa unajibaragusa kwangu ya nini.

Akatoka akaenda bafuni akavaa nguo zake akaishia akimpiga mkwara jamaa kwamba nitakutangaza chuo kizima mjinga wewe.

Jamaa akabaki hapo kitandani akitafakari kwani haijawai kumtokea kabisa tatizo kama hilo.

Jamaa akaenda bafuni kuoga ghafla kitu hicho yaani full erected.

Sasa jamaa anawaza atafanyaje kumhakikishia yule binti kwamba yupi fiti sababu anahisi yule msichana keshaanza kumtangaza vibaya hapo chuoni.
 
Duniani kuna mengi sawasawa na bahari,watafanya kila njia waifupishe safari......,..,.......
 
  1. Anaweza alikuwa na wasiwasi au hofu nyingi alipomuona kwa mara ya kwanza
  2. Labda huyo dada ana mtu wake ambaye ameshamuendea kwa karumanzira kwamba mtu mwingine itokee hivyo. Shukuru Mungu ungelazimisha ungeweza kunasa kabisa.
 
Jamaa anasema alikuwa anampenda huyo msichana ile mbaya wote wanasoma chuo kimoja.
Jamaa akavimba na huyo binti mpaka akaingia kingi basi wakakubaliana wakutane hotel wakapiga maanjumati baada ya muda wakazama rum.Jamaa anasema ile wamezama wakaanza kutomasana tomasana, wakavuana nguo wakabaki kama walivyozaliwa.Hapo ndiyo shida ilipoanza jamaa anasema alivyomuona yule msichana akiwa hana nguo (maana anadai huyo binti ni mweupe aliyejaliwa umbo namba nane).
Mapigo ya moyo ya jamaa yakabadilika kabisa wakaendelea kutomasana kwa sana binti anamlamba jamaa kila mahali na jamaa vile vile.Jamaa kuchek mtarimbo upo doro yaani kama hauusiki na chochote katika zoezi hilo.

Ikafika mahali binti akawa anahitaji haki yake jamaa anajaribu kushtua kitu wapi matarimbo umegoma kabisa.Yule binti akashtukia akaukamata mtarimbo mwenyewe chezea sana wapi kitu doro.
Yule binti sababu alikuwa high sana anataka kulazimisha uzame hata ukiwa doro lakini wap.
Basi yule binti akamsukuma jamaa akamwambia sasa umenileta huku kufanyaje, Kama unajijua unamatatizo ulikuwa unajibaragusa kwangu ya nini.
Akatoka akaenda bafuni akavaa nguo zake akaishia akimpiga mkwara jamaa kwamba nitakutangaza chuo kizima mjinga wewe.
Jamaa akabaki hapo kitandani akitafakari kwani haijawai kumtokea kabisa tatizo kama hilo.
Jamaa akaenda bafuni kuoga ghafla kitu hicho yaani full erected.
Sasa jamaa anawaza atafanyaje kumhakikishia yule binti kwamba yupi fiti sababu anahisi yule msichana keshaanza kumtangaza vibaya hapo chuoni.

Mhh hapa pana utata mbona kama hii ishu inamuhusu mtoa mada?
 
Kuwa mkweli tu kaka tukusaidie.

Mtafute beberu akushughulikie, tatizo kwisha, siriaz sitanii kwenye hili.
 
just an unfortunate incident that can play tricks on you when you least expect it.... simply laugh it off and tread on
 
Tatizo lilikuwa nini bro au ulikuwa hujaamini kama utampata usiwe na para para kwenye mambo kama hayo pole sana best ucjal jiandae kwa siku nyingine.
 
HAYO NI MAMBO YA KISWAHILI KABISA EITHER MWANAUME NDIO KAFANYIWA AU MWANAMKE AJARIBU KWA WANAWAKE WENGINE KAMA 15 HIVI ALAFU AENDE PEKUPEKE manuu USHAURI HUU HAPA
 
Last edited by a moderator:
kawaida, desire ni fresh then unafail kwenye arousal , sex is the state of mind, jamaa anasimama mtu ukiwa upp mentally fit kwa sex, sio usiogope sana, ni matatizo madogo ya kisaikolojia tu,
 
Back
Top Bottom