SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Wadau kama unahitaji mwenza wa maisha awe mwanamke au mwanaume tafadhali ni-PM na nitakuunganisha bure kabisa kwa sasa nilionao kwenye list ni wadada wanatamani kupata wenza wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea mwenye uwezo wa kiuchumi (sio kula kulala) huyo mdada anafanya shughuli zake sinza,anaishi mwenyewe na watoto wak wawili yupo tayari kupima Afya (UKIMWI) kama nawe utakuwa serious. Asante