Habari za majukumu halali wanajamvi? Mwenzenu miaka mitano iliyopita kabla ya kwenda ughaibuni nilikuwa nasoma gazeti moja linaitwa jitambue. Sasa tangu nimerudi silioni mtaani. Nikiwauliza...
Wadau,
Nimeona nami nijitokeze kutafuta mke katika jukwaa hili.
mimi nafanya kazi na nina elimu ya chuo kikuu.
nahitaji mke mwema, awe mkristo, mtaratibu na mwenye mawazo ya maendeleo, awe...
You have any relationship problems love, friendship,business, and if u have two or three sweeters and you not sure of who is the best one for you.
Ok contact love and relationship consultant...
Nilikuwa Morogoro mwaka fulani nikakutana na mwanamke tuliyekutana kwenye semina tukakubaliana wakati wa break tukazungumze mawili matatu nikaenda hadi hotelini akaingia nikaanza kumpa somo lakini...
Hapa napokaa mama mwenye nyumba ni Mama wa Nymbani tu ni mama wa Makamo kidogo, sasa anavituko juu yangu mpaka simuelewi!
Kwanza nikipata mgeni wa Kike tu atanuna vibaya hanisemeshi mpaka...
Waungwana hebu naomba mniambie kama kuna madhara unayapata kufanya mapenzi na msichana akiwa katika siku zake.
Maana kuna kasichana kananiletea vituko hakaji gheto mpaka kakiwa katika siku...
Jamani wana jamnvi mi I think nina tatizo nimeisha acha ma girlfriend wawili because hawanifikishi sexually, i mean sifiki mshindo,
Hawa wote wawili niliokua nao kila tukifanya mapenzi yaani...
Mimi ni kijana nina mtafuta mwanamke miaka 25-65 mwenye kujua thamani ya mapenzi kigezi cha miaka ni muhumu hata kama anawatoto ni vzuri kwani hata mm ninafamilia
Asubuhi asubuhi napita maeneo ya Kurasini kwenye uchochoro wa kelekea Uhamiaji.
Mbele baada ya ule uchochoro kuna fremu mbili tatu na pia kuna saloon ya kike.
Namuona mdada white amekaa lakini...
Ndugu wana J.F nadhani huu usemi wa "uzuri wa nyumba choo" sio mgeni kweni kwani ni moja ya misemo ambayo huipa lugha yetu ya kiswahili kashkash na nakshi.
Katika pitapita zangu huwa nikipita...
Kuingia ndani kwa mtu bila kukaribishwa, unamjengea hisia kuwa amevamiwa! Amenyimwa uhuru wake au vinginevyo. Hali hiyo huwakuta wanawake katika tendo la ndoa!
Wengi wamesikika wakilaumu au...
Lazima tufahamu kwamba pamoja na Mungu kumuumba mwanadamu na kuwa mtawala wa wanyama wote , bado sisi ni wanyama pia. Mungu amewaumba wanyama wote, ametupa nyakati za kujamiana katika kila kundi...
Natafuta mama sukari aka sugar mamy wakunilea napenda sana mama kubwa na sijui nitapataga if kuna anayetaka kijana aniambie kwa email hii igkboy@hotmail.com
Wadau nilikuwa nauliza ni pesa kiasi gani natakiwa kuwa naacha home kwa ajili ya famili ,yaani mimi wife na watoto wawili wadogo?kwa maisha ya hapa dar.
wengine husema elfu 3,kama kuna mkaa na...
Ee Bwana nakuomba unapo wabariki wengine na kuwaponya dhidi ya magonjwa,kuwainua na kuwapa utajiri,kuwapa nguvu ya kukutumikia wewe,unikumbuke na mimi pamoja na marafiki zangu wote. (( Amen ))
Wana MMU jukwaa la Love connect nawasalimu wote kwa mpigo.
Hii ni kwa niaba ya rafiki yangu wa karibu.
Ana miaka 45 na watoto wawili, very independent woman, yuko safi, kazi nzuri maisha sio ya...