Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,676
- 3,143
Habari za majukumu halali wanajamvi? Mwenzenu miaka mitano iliyopita kabla ya kwenda ughaibuni nilikuwa nasoma gazeti moja linaitwa jitambue. Sasa tangu nimerudi silioni mtaani. Nikiwauliza wauzaji wananishangaa wanasema hawalijui.
I,m sure hawa watakuwa wameanza juzi kati hiyo bizz. Sasa naomba nijue ni wapi huyu muandishi yupo? Alikuwa akijitambulisha kwa jina la munga tehenan. Au wapi naweza pata nakala zake? Nawakilisha.
I,m sure hawa watakuwa wameanza juzi kati hiyo bizz. Sasa naomba nijue ni wapi huyu muandishi yupo? Alikuwa akijitambulisha kwa jina la munga tehenan. Au wapi naweza pata nakala zake? Nawakilisha.