Da Asia
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 731
- 819
Wana MMU jukwaa la Love connect nawasalimu wote kwa mpigo.
Hii ni kwa niaba ya rafiki yangu wa karibu.
Ana miaka 45 na watoto wawili, very independent woman, yuko safi, kazi nzuri maisha sio ya kubangaiza.
Anafuta mwanamme similar if not the same, age between 38 - 60. Awe single mwenye watoto maana at 45 biashara ya kuzaa haipo.
What she wants ni company, awe na ajira ya kueleweka au kama ni biashara iwe ya kueleweka, awe na upeo wa kujua future yake na anataka nini katika maisha. Social wa kupenda kujichanganya.
What she needs ni happy life, na happy life ni ku enjoy to the maximum pale nafasi ikiruhusu, including going away for holidays.
Mrefu, mweusi, average body atapewa kipaumbele.
Kama una sifa, au unamjua mwenye sifa hizi, basi ni PM nikupe contacts za mtafutaji.
Msinimeze maana mjumbe hauwawi.