Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Stephiano

New Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Mimi naitwa stephiano junior kutoka mshomoroni,mombasa. Na niko na 21 years na natafuta mrembo (girlfriend) namba yangu ya simu ni 0726366034
 
Umri huo katoto kangu kasiangalie chuo, kawe bize kanasaka warembo.

Piga mtama!
 
Ungesoma kwanza weye kwani unamengi unahitaji kukamilisha ktk maisha, alafu ukishakamilisha sio galofrendi tena nikutafuta mke moja kwa moja
 
Duu 21yrs ndio kwanza upo fm5 sasa gelofrendi utaweza kumpa mahtaj yake kwel! piga kitabu wachu uchiz wa ngono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom