Jaman wana jf natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25 sifa kuu awe anajua nn maana ya mwanaume.
sifa kuu awe anajua nn maana ya mwanaume.
Kwani hao waliokuzunguka hawajui??
Huna wazazi?.
Huna kwenu?
Huna ndugu?
Hujasoma?
Je marafiki?
Unamjua Mungu kupitia wapi?
Usijisike vibaya kuulizwa haya maswali maana naamini toka ndani ya makundi haya mke hupatikana humuo pamoja na makundi amabayo sijayaandika
Jaman wana jf natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25 sifa kuu awe anajua nn maana ya mwanaume.
Napingana na wewe haya mambo ya ndoa hayahusiani kabisa na ukaribu katika mambo ya kifamilia, ikitokea ukapamta kiivyo sawa lakini sio guarantee wengi including me wanaoa na kuolew na watu ambao hawajawahi kuwa na ukaribu wa aina yoyote kifamilia wala kirafiki, mnaweza kutana kwenye daladala, au kutuoni au mtandaoni kama hivi, au kazini inategemeaUmemuliza maswali ya msingi sana. Mke ni mtu ambaye umewahi kuwa na karibu katik jambo moja or jingine hizi ishu za mtandaoni sio safe utakuja juta one day.
Napingana na wewe haya mambo ya ndoa hayahusiani kabisa na ukaribu katika mambo ya kifamilia, ikitokea ukapamta kiivyo sawa lakini sio guarantee wengi including me wanaoa na kuolew na watu ambao hawajawahi kuwa na ukaribu wa aina yoyote kifamilia wala kirafiki, mnaweza kutana kwenye daladala, au kutuoni au mtandaoni kama hivi, au kazini inategemea
Ukisoma vizuri hap sijamaanish kifamilia but mtu ambaye umesocializ naye..cjasema haiwezekan kuoa wa hivyo but ni majanga at the end of the day dats why nkatoa warning. Unaweza ukakubal kuolewa na mtu mliye kutana mda mfupi.? Nijibu
sasa huko ku socializ unakosema ina maana ni mpaka ukute na mtu mkubaliane ndo muanze ku socializ nae au nimekuelewa vibaya?
Kazi zote hizo mtu mmoja tu!!! dah utakuwa umemuonea aiseemaana ya mwanaume ni kutafuta hela, kunipa hela, kunitunza, kunipetipeti na kunipa mtoto basi..... sasa kwa maana hii hapa je nakufaaa?
Huuuuuuu! nimemaliza kusoma sasa naomba nipumzike kidogo then nitacoment....huuuuuuuuu!!!!uandishi umenichosha sanaU shuld ask first..ok ipo hiv ishu kam hiz za mitandao ninazifaham nimezion kwa watu wa karibu..kusocializ nakosemea sio mpaka mtu awe kaish around nawe miak mingi negativ ni ishu ya mtu kumjua na yeye kukujua ata uliosemea kwa basi mtu mkianza kutok humwambii dada nataka kukuoa no ila utainitiate mazungumz ya urafiki then mtaanz ku date kama mkiend sawa. Ila kwa mitandao mtu anakuj direct natak mke haya anajitokeza kinach fuat ni kumit na kumsaminish then i lov u lov two..watu hao wamevutana ndani weng hukurupuk na asilimia kubwa wanao saka mke or waume ni wale ambao wamekuw ni dispersd n wanaogop mda. Ila hukujib swal langu
Kazi zote hizo mtu mmoja tu!!! dah utakuwa umemuonea aisee
Hizo kazi tunaziweza wachachendiyo namna navyo define mwanaume kama na yeye ndo anamaana hiyo hiyo basi aseme
aya basiHizo kazi tunaziweza wachache
Definition na bona fide example umeshapata............Kamata fursa twende zetu..!!aya basi
maana ya mwanaume ni kutafuta hela, kunipa hela, kunitunza, kunipetipeti na kunipa mtoto basi..... sasa kwa maana hii hapa je nakufaaa?