Uzuri wa nyumba choo

Uzuri wa nyumba choo

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
56
Ndugu wana J.F nadhani huu usemi wa "uzuri wa nyumba choo" sio mgeni kweni kwani ni moja ya misemo ambayo huipa lugha yetu ya kiswahili kashkash na nakshi.

Katika pitapita zangu huwa nikipita mitaani najitahidi hasa kuchunguza vijana wa kiume hasa mijini ambako dada zetu huvalia vingua ambavyo vina nakshi maumbile yake hasa mofolojia.

Na katika uchunguzi wang nimeona vijana wengi wakiangalia hasa sehemu ya kutolea" Tigo pesa" nikimaanisha choo ya mwanamke na mara nyingi wadada au wanawake wenye Choo kikubwa vijana wengi hupenda kukisindikiza kwa macho mpaka kinaishiria hasa maeneo ya vijiweni.

Jana katika pitapita zangu maeneo ya mlimani city nikiwa nimekaa eneo la katikati kwenye viti na vijana kama sita hivi nilishuhudia vyoo vyembamba vya kizungu na kichina vikipita lakini hakuna mtu aliyeshtuka.

Lakini kilipita choo kimoja cha kibongo kila mmoja alikisindikiza huku akiguna nikatambua hakika waafrika wanavyoo bomba kabisa.

Chaajabu mdada huyo mwenye choo chake kizuri alikitembeza kama kakisahau nyuma si chake huku kikirindika na kupepea kama bendera hata wazungu wawili waliokia wakipishana nacho ilibidi wachunguze na kuhakiki kama kweli ile mofolojia ina sadiki hata kwa upande wa chooni.

Hakika wadada wetu wa kibongo wanavyoo yakinifu.
 
Ndugu wana J.F nadhani huu usemi wa "uzuri wa nyumba choo" sio mgeni kweni kwani ni moja ya misemo ambayo huipa lugha yetu ya kiswahili kashkash na nakshi.
Katika pitapita zangu huwa nikipita mitaani najitahidi hasa kuchunguza vijana wa kiume hasa mijini ambako dada zetu huvalia vingua ambavyo vina naksh maumbile yake hasa mofolojia.
Na katika uchunguzi wang nimeona vijana wengi wakiangalia hasa sehemu ya kutolea" Tigo pesa" nikimaanisha choo ya mwanamke na mara nyingi wadada au wanawake wenye Choo kikubwa vijana wengi hupenda kukisindikiza kwa macho mpaka kinaishiria hasa maeneo ya vijiweni.
Jana katika pitapita zangu maeneo ya mlimani city nikiwa nimekaa eneo la katikati kwenye viti na vijana kama sita hivi nilishuhudia vyoo vyembamba vya kizungu na kichina vikipita lakini hakuna mtu aliyeshtuka.
Lakini kilipita choo kimoja cha kibongo kila mmoja alikisindikiza huku akiguna nikatambua hakika waafrika wanavyoo bomba kabisa.
Chaajabu mdada huyo mwenye choo chake kizuri alikitembeza kama kakisahau nyuma si chake huku kikirindika na kupepea kama bendera hata wazungu wawili waliokia wakipishana nacho ilibidi wachunguze na kuhakiki kama kweli ile mofolojia ina sadiki hata kwa upande wa chooni.
Hakika wadada wetu wa kibongo wanavyoo yakinifu.


Jamii forum kweli!
 
Weka basi hata picha basi ya hicho choo unachozungumzia
 
Kuna mdau aliwahi kunidokeza kuwa mstari wa Ikweta unamaana zaidi ya kijiografia! Kukatia mstari wa Ikweta kuja chini (Kusini) mawazo yao muda wote ni chini ya kiuno tuu!! Mara makalio, mara mahipsi, mara miguu hata hamueleweki!! Na ndio maana ukimwi umeweka kambi katika nchi hizi
 

Attachments

  • 1392890030947.jpg
    1392890030947.jpg
    18.4 KB · Views: 210
  • 1392890055716.jpg
    1392890055716.jpg
    8.5 KB · Views: 193
Hili ni tusi kwa akina mama, nimejisikia kudhalilishwa sana.
Kweli sehemu zetu za kukalia ziitwe choo? Like serious? Huna mama, hata dada na shangazi tu?
 
Kuna mdau aliwahi kunidokeza kuwa mstari wa Ikweta unamaana zaidi ya kijiografia! Kukatia mstari wa Ikweta kuja chini (Kusini) mawazo yao muda wote ni chini ya kiuno tuu!! Mara makalio, mara mahipsi, mara miguu hata hamueleweki!! Na ndio maana ukimwi umeweka kambi katika nchi hizi

Huu uwe ujumbe murua wa siku ya leo kwa wasomaji wa uzi huu....
 
Mchoro ni kipindi cha ukoloni

images


Sarah Baartman

According to popular history, Baartman was born in 1789 in the Gamtoos Valley of South Africa. When she was barely in her 20s, she was sold to London by an enterprising Scottish doctor named Alexander Dunlop, accompanied by a showman named Hendrik Cesars. She spent four years in Britain being exhibited. Her treatment caught the attention of British abolitionists, who tried to rescue her, but she claimed that she had come to London on her own accord. In 1814, after Dunlop's death, she traveled to Paris. With two consecutive showmen, Henry Taylor and S. Reaux, she amused onlookers who frequented the Palais-Royal. She was subjected to examination by George Cuvier, a professor of comparative anatomy at the Museum of Natural History. In post-Waterloo France, sideshows like the Hottentot Venus lost their appeal. Baartman lived on in poverty, and died in Paris of illness in December 1815. After her death, Cuvier dissected her body, then displayed her remains. For more than a century and a half, visitors to the "Museum of Man" in Paris could view her brain and skeleton until she was peacefully laid to rest.

Kwa heshima yake meli hii iliyokuja kumsaidia Magufuli kukamata samaki wale imepewa jina lake!

7952.jpg

 
Kwa kuita choo hapo umewadhalilisha... ita ---- au makalio... ni kweli lakini, waafrika kwa mishep tu duh.. si nyuma tu, hata kwenye kifua na hips ni ugomvi.. Basi nkiwa na-attend lecture kuna mdada black moja tu class, wadada weupe hawa hua wanakuja daily na vipensi vifupi ka chupi ila kawaida, mwanaume hata akili haiami inaconcentrate kwenye kitabu, sasa ka bahati mbaya siku huyo black moja akatupia na yeye, lecture room atmosphere ilibadilika... full matatizo...
 
Back
Top Bottom