Natafuta Mchumba wa kike

Natafuta Mchumba wa kike

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Wadau,

Nimeona nami nijitokeze kutafuta mke katika jukwaa hili.

mimi nafanya kazi na nina elimu ya chuo kikuu.

nahitaji mke mwema, awe mkristo, mtaratibu na mwenye mawazo ya maendeleo, awe anafanya kazi yoyote halali akiwa mwalimu ni vizuri zaidi na awe Mwanza au kanda ya ziwa, mwisho awe na mvuto basi.

aliye tayari tuwasiliane au ani-PM tu.

Asanteni.
 
Tafadhali toa mrejesho ukifanikiwa tukupongeze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom