Amen

Amen

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Ee Bwana nakuomba unapo wabariki wengine na kuwaponya dhidi ya magonjwa,kuwainua na kuwapa utajiri,kuwapa nguvu ya kukutumikia wewe,unikumbuke na mimi pamoja na marafiki zangu wote. (( Amen )) 1392870753482.jpg
 
mimi na my wife to come.. miss neddy.. kwa pamoja na kimvua mvua na kibaridi hiki, tunasema AMEN!

ALL you get blessed!

God-Bless-300x225.jpg
 
Last edited by a moderator:
Amen. Kafanye kazi sasa maana hata kwenye Bibilia imeandikwa asiyefanya kazi na asile..
 
Aminaaaaa. Mungu amponye my sweetie sweetie anaumwa jino.
 
amin, mwanzo mzuri wa siku, sala nzuri sana, wote waaminio Baraka za Mungu ziwafikie pamoja nami!
 
Mungu aniepushe na hili pepo la ngono linalokaribia kunizidi nguvu..... Amen
 
Back
Top Bottom