Habari zenu wana JF.
kuna kaka yangu katika ukoo,alikuwa na mchumba wamedumu kwa miaka 3,mwaka huu mwezi wa 6 tulitarajia kula mpunga mana maandalizi ya ndoa yao yalikwisha anza, na huko...
Ilikuwa ni usiku wa siku ya 'arobaini' ya msiba wa mtu alofariki kitambo.
Nikiwa ndani nimelala kunako mida ya saa nne usiku, kwa nje kulikuwa
kuna wadada kama wanne au zaidi-baada ya kuimba kwa...
Kipi bora upate mke msafii anaejua kusafisha nyumba na kutunza mazingira lakini kitandani mvivu,au upate mke mtundu kitandani 100% na anajua kupika balaa ila linapokuja suala la usafi ni 0 hajui...
HII ni aibu kubwa! Mhadhiri wa Chuo cha Kodi ya Mapato Tanzania, Richard Donati amezuliwa timbwili la aina yake nyumbani kwake, hali iliyosababisha mtaa kufungwa, kisa kikielezwa ni kukutwa na...
Nko katika age ambayo wadada wengi wanatamani sana kuolewa na siwezi kataa hata mimi pia natamani sana atokee wa kunioa.
I have bin single for a while baada ya mwanaume nlieachana nae kuwa too...
Natafuta mke wa kuoa,awe serious ktk mahusiano.Awe na sifa zifuatazo.Mrefu,mrembo,mkarimu na staha.kabila lolote na umri usizidi 26. Uko tayari uni-pm au nicheki 0787861295
Kuna wanawake kusema kweli wamejaaliwa uzuri na muumba lakini shida yao kubwa wakishajitambua kuwa ni wazuri na wanapendwa sana husahau yoote mengine ya muhimu na kujiona kuwa uzuri wao...
Wanawake ni kundi linaloteseka mno duniani
Zamani ukitaka kuoa kigezo kilikuwa ni bikira- yani mwanamke akikutwa bado ni new brand basi sifa zilikuwa si haba na mahari ikawa kubwa
Baada ya hapo...
Salam kwenu wakuu,
Baadhi ya mabinti wengi sasa wametega akili kwenye ndoa tena wana maslahi yao binafsi,
Kauli moja kati ya hizi inapotangulia kuulizwa na binti ndani ya...
Habari zenu wana MMU
natumaini siku yenu imeenda poa sana
KIPAJI-NI moja ya mambo ambayo huwa yananitatiza sana kwenye kila uhusiano ninaouanzisha na kulalamikiwa kuwa ww ni mtu wa aina gani...
Kukutana kimahusihano ni jambo moja, ila kurizishana ni jambo jingine, kwasababu kurizishana kunaitaji, uwelewa usanifu wenye ubunifu, na uwezo timilifu wa kufikishana kileleni, sisi tuna shauri...
Mama mkwe ana mchango wake kwenye ndoa yako, mchukulie poa, itakula kwako.
Mke Mwenye Hekima ANAULINDA UHUSIANO NA MAMA MKWE [Hii Ni Zawadi Ya Pekee Kwa Mmeo], Moyo Wa mtoto Wa Kiume Humpenda Na...
Kwa wasichana,
1.Jitahidi kuakikisha unaepukana na kasoro nyingi ambazo kimsingi zitamfanya wanaume asikubaliane na wewe kuweka commitment. Mfano acha kuwa msumbufu, mchafu, mgovi, tamaa Nk...
1--Katika familia ya watoto Matulanya wengi hakuwakupenda elimu hasa walionitangulia akiwemo kaka yangu mkubwa na dada zangu yupo aliyeishia darasa la pili mpaka leo hata kusoma hajui. Mwingine...
Ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa,zifuatazo ni sababu na jinsi ya kutatua tatizo hilo
1: PUNGUZA WASIWASI NA HARAKA YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
Wanaume wengine wanakuwa na wasiwasi...