Mama mkwe naye ana mchango wake kwenye ndoa yako

Mama mkwe naye ana mchango wake kwenye ndoa yako

Yes Yes Yo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
232
Reaction score
99
Mama mkwe ana mchango wake kwenye ndoa yako, mchukulie poa, itakula kwako.

Mke Mwenye Hekima ANAULINDA UHUSIANO NA MAMA MKWE [Hii Ni Zawadi Ya Pekee Kwa Mmeo], Moyo Wa mtoto Wa Kiume Humpenda Na Kumjali Mama, Usisahau Hii Itakusaidia, NI SILAHA MUHIMU YA VITA!
SOMA KITABU CHA RUTHU Utaona Ruthu Alivyocheza Kete Zake Vizuri Na Kuuteka Moyo Wa Mama Mkwe.
"Mke Mwenye Busara Huhakikisha Anauteka Moyo Wa Mmewe Kwa Kuwa Kipenzi Cha Mama Mkwe.
 
mbali na mama mkwe, wazazi wa pande mbili wanapaswa kuwa washauri na walezi wakuu wa watoto wao katika ndoa.

mambo mengine wawaachie watoto wao wawe huru kufanya wanavyojisikia.
 
Umenena vyema mkuu.

mbali na mama mkwe, wazazi wa pande mbili wanapaswa kuwa washauri na walezi wakuu wa watoto wao katika ndoa.

mambo mengine wawaachie watoto wao wawe huru kufanya wanavyojisikia.
 
Back
Top Bottom