Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,087
Wanawake ni kundi linaloteseka mno duniani
Zamani ukitaka kuoa kigezo kilikuwa ni bikira- yani mwanamke akikutwa bado ni new brand basi sifa zilikuwa si haba na mahari ikawa kubwa
Baada ya hapo bikira ikawa sio ishu bali kuzaa kabla ya ndoa. Hiyo nayo ikadumu sana tu madokta wakamake sana kwa kuwatoa mimba mabinti ili akiolewa asiwe mzazi
Mambo yakabadilika una mtoto sio ishu je umepima ?makanisani na misikitini kikawa ni kigezo kikuu hamfungishwi ndoa mpaka mwende na cheti cha majibu yenu ya ukimwi
hiyo fasheni ya ukimwi imeshakuwa zilipendwa siku hizi ndoa zinaangalia kipato hata kama umeathirika je wewe si golikipa ?unafanya wapi kazi unalipwa bei gani
Najiuliza tu baada ya hiki cha ajira nini kitafuata ??