Shosti mwanaume mtamu yuleeeee! Najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shosti mwanaume mtamu yuleeeee! Najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Apr 19, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa ni usiku wa siku ya 'arobaini' ya msiba wa mtu alofariki kitambo.
  Nikiwa ndani nimelala kunako mida ya saa nne usiku, kwa nje kulikuwa
  kuna wadada kama wanne au zaidi-baada ya kuimba kwa muda-walikuwa wakiendelea kupiga
  stori zao za girly.

  Kama kawaida mmoja akamchomekea mwenzake kwa kusema: "Yaani, akamtaja jina, pamoja kujidai kote eti
  humpendi John, mwishowe kakunasa.......na siku hizi unavyomganda utadhani
  sio John yule uliyekuwa ukidai eti hana hadhi ya kuwa nae.

  Mhusika alipoambiwa hivyo kwanza akacheka, halafu akajibu "Shosti mwanaume
  mtamu yuleeeee!Yaani najilaumu kwanini nilimdengulia sana!
  ". Mdada wa tatu akadakia:
  'Mwenzangu usituringishie tusije tukakupindua bure, wengine huo utamu tunausikia kwa bomba".
  Wakaendelea kutuchambua wanaume kwenye mambo mengi, ila mie nilivutiwa tu na hiyo 'remarks' za
  huyo aliyenogewa na utamu wa mpenzi wake.

  Jioni njema wajemeni!
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  domo kubwa yatampata makubwa,mwanaume mtamu unamtangaza ananuka nanihii ili wakuachie mwenyewe!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Duuh...siku gani utakuja na story za gheto kuhusu wanawake, naona masikio yako yananasa za kike tu.:A S tongue:
   
 4. k

  kabye JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitarudi.....................later
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Shigongo ananunua story.
  Itaitwa misiba yahatarisha ndoa
  OTIS
   
 6. k

  kabye JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulijuwaje?
   
 7. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 11,513
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  sikuzote natamani sana kuingia mioyoni mwa wanawake maana kuwagundua ni vigumu sana..
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha! Umepinda wewe, wakikustukia si bado watamnyakua tu? Labda useme bahili! LOL
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Believe me nasi tunatamani sana kuingia kwenye mioyo yenu!
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  tunatamani kuwapekua hadi maini
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Yaelekea hujamsoma Ndyoko
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Ushaniharibia siku tayari! Mhhhhh za gheto zinatisha wala usitake kuzisikia maaana ntaambiwa mdhalilishaji
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145


  Mtatuua sasa, hadi maini!!!???Ina maana mifuko yetu mnayotupekua haiwatoshi??
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Waongoza kwa vituko wewe mtoto!
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  I know; lkn come to think of it! Imagine unajua kila anachowaza huoni kwamba it can be very boring?
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,069
  Trophy Points: 280
  Kweli wadada wanatutumia kwa starehe zao
   
 17. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 355
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mie napita tu umbeya huo haunihusu
   
 18. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  bias as always! keep it up!
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  mifuko haina maana kwani kila kitu mnaweka mifukoni?
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  but ni bora kuujua ukweli hata kama unaumiza kuliko kukaa gizani ,na kufurahi kumbe unachofurahia sio
   
Loading...