Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mpenzi wangu tumekuwa nae muda mrefu bila kupeana wet kiss leo nikataka kujaribu kumkiss nikakutana na harufu fulani ambayo sikuipenda na nikazuga nimesahau kitu fulana ili kuepukana na hali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mamboz wadau.....mimi ni binti wa miaka 25,nna mpnz ambaye tuna mwaka sasa lakn mwanzo wa uhusiano wetu alionyesha kunijali sana simu kla dk,txt,zawad nk.Mwaka jana mwez wa 8 akaanza kubadilka yte...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Nilishuhudia kitendo cha kinyama kwa binti mmoja aliyefiwa na baba na kuamua kutafuta kazi za ndani ili amsaidie mama yake aliyekuwa na kipato duni.Yaliyomkuta ni fedheha kwani familia ilijenga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1.Lazima ujue kwamba wewe ni mke na ni wajibu wako kushuka na kumtii mmeo "enyi wake watiini waume zenu kama kanisa linavyomtii kristo yesu" 2.Lazima ujue kwamba mmeo ni kiongozi wako, haijalishi...
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Wasichana wengi wao wanajifanya matawi wakati si kweli. Katika vyumba vyao wanafanya kila kitu vya kipuuzi kama kula kupita kiasi, wanajamba bila kuona aibu. Pindi ukikutana nao njee wanajifanya...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nahitaji mfanyakaz wakike na badaye awemke wangu.mm bdo sijaoa.KAZI nikulisha ngombe nakufagia mbolea yangombe.npm
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi kwa nini unakuta marafiki wanaharibu mahusiano ya kimapenz kati ya watu 2, mfano rafik Yang anamfata boyfriend wangu anamjaza maneno either ya ukweli ama uongo hiv anakuwa anataka nini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
TWIN sisters say they decided they want to look identical to be able to share everything in their lives. Yes, everything: house, bed, boyfriend, Facebook account and even a job. Anna and Lucy...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamii kesho ni siku ya wanawake duniani, siku ya pekee inayotokea mara moja kwa mwaka. Natafuta msichana/mwanamke nitakayemwonyesha upendo kama kumbukumbu ya kutambua na kuthamini siku hiyo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Aliyekuwa akinifunda kabla ya kuoa(unyago)aliwahi kuniambia kuwa ....."ili mfurahiane na hatimaye mridhishane kimahaba wewe na umpendaye(mkeo) hamna budi kuandaa mazingira mazuri ya kuipa akili...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari MMU... Kwa ruhusa yenu naomba nianzishe siredi ya kupeana matumaini, moyo na ari katika maisha yetu ya kila siku. Naomba iwe siredi endelevu kwa kila siku kutupia quotes nzuri na...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kalibuni tushikemwoo! Maana saa zenyewe ndo hizi!
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Naona sherehe zimeanza kwa nderemo kesho ni kesho msema kweli ni mwongo najua kesho mtafurika kwa sana kanisani
4 Reactions
160 Replies
20K Views
Maisha yana badilika bwana we endelea kunidharau tu lakini ipo siku
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ASILIMIA 40 ya wanaume waliopima VINASABA ili kubaini uhusiano wa kibaologia na watoto wanaowalea wamebainika kuwa WATOTO HAO SIO WAO licha ya kuzaliwa na wake zao au wapenzi wao. Taarifa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nichukue fursa hii kukutakia maisha marefu na yenye baraka nipo hapa ni kwasababu yako,i love you mother,happy women day
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu hili tatizo analo mme wa mdogo wangu yani hawezi jisafisha vzr na ni mtu mzima unakuta kwenye pichu kuna ile dead matter, ama akitoka job anavaa kanga sasa inapita pale ikweta akivua tu...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
naombeni ki msaada mabwana ila mabibi wasiusike sababu demu niliepanga kuwa wife kaniacha kwenye mataaa....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Do ladies take lessons when it comes to running and dancing while in high heels shoes? I have been amazed seeing ladies running and dancing vigorously while in these crazy high heels. Is there a...
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Back
Top Bottom