Mapenzi na kipaji

Mapenzi na kipaji

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari zenu wana MMU
natumaini siku yenu imeenda poa sana
KIPAJI-NI moja ya mambo ambayo huwa yananitatiza sana kwenye kila uhusiano ninaouanzisha na kulalamikiwa kuwa ww ni mtu wa aina gani usiyekua na kipaji chochote upo upo 2 kama mzimu hata kipaji cha kula chabo 2 hunsa
sasa imeanza kuwa kero,.
je? Kuna uhusiano gani kati ya mapenzi na kipaji mfano kuimba,kucheza mpira
je? Ni nni umuhimu wa kipaji katika mapenzi

sababu nashangaa mama na baba yangu wanapeta mpaka sasa na wote hawana kipaji chochote
zaidi ya kipaji cha usiku,!
 
Wewe mbona kipaji unacho tu? Kwani hawaoni hiyo ID yako? Kipaji hicho blaza
 
Kujitoa Mhanga ni zaidi ya kipaji .waambie wewe ni gaidi. usisahau kuleta fidibaki
 
Back
Top Bottom